gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF wanatoza gharama kubwa kubadili kadi chakavu?

    NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa. Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu. Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama ya maisha

    Pamoja na agenda hii kuwa katika sharti mojawapo ya maandamano ya CHADEMA ni vema Serikali ikawafikiria wananchi juu ya kutatua tatizo hili. Wananchi wanapitia maisha magumu ikiwa ni pamoja ukosefu wa umeme, bei ya mafuta, gharama ya usafiri, bei ya sukari, nyama, samaki na bidhaa nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi kuanza kutoza gharama za kusoma taarifa zao

    Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
  4. JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

    Habari zenu wana Jf, Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini. Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh elfu kumi hadi kumi na 5. Asanteni sana ndugu zanguni
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii inapunguza gharama za ujenzi?

    Habari waheshimiwa. Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike. So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua. Naomba kujua...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama ya maisha

    Jana nilimuona Jamaa mmoja akishauri nini cha kufanya kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha. Hoja yake ambayo mimi naiita hoja nyepesi alishauri wananchi kuwa kwa kuwa sasa nchi inapata mvua basi ni wakati muafaka watu kujikita kwenye kilimo ili kuepukana na gharama ya kupanda kwa maisha...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua kama kuna uwezekano wa watu wanaotumia gharama sana, gharama za kawaida (kati) au kuna za chini...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  10. JamiiForums Tanzania Papua New Guinea: Hali ya hatari yatangazwa Mji Mkuu baada ya maandamano na uporaji kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na malipo finyu

    Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za finishing

    Mwenye uzoefu na gharama zifuatazo anambie nyumba ina vyumba vinne, jiko seble, vyoo viwili na bafu Gharama ya plaster= Kupaka rangi= Wiring= Plumbing= Tiles=
  12. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Tanzania inawezaje Kuwasaidia Wananchi Kumudu Makazi ya Gharama nafuu?

    Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi. Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta uzi huu ambao utalenga zaidi kuongelea kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanzania katika kuwasaidia...
  13. JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
  14. JamiiForums Tanzania Hasara na gharama za uchawa

    Inasikitisha sana kumkuta kijana mwenye nguvu chini ya miaka 40 ameingia kwenye uchawa na kushabikia vitendo vya uchawa. Mtu aliyechagua maisha ya uchawa anaweza kudhani kuwa amechagua maisha ya mteremko (kitonga) ama kwa kujitoa ufahamu au kuchukulia kirahisi madhara ya uchawa. Tatizo chawa...
  15. JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne. Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
  16. JamiiForums Tanzania Wataalamu naombeni gharama zote mpaka kukamilika

    Naomba wale wataalamu wa ujenzi engineering wanipe gharama za mjengo kama huu
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

    - Kukatika katika hovyo kwa umeme - Fukuza fukuza ya machinga - Kuongeza nauli hovyo hovyo - Ubovu wa miundombinu ya barabara - Kukwama kwa miradi mbalimbali - Mfumko wa kutisha wa bei - Rushwa iliyokithiri Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  19. JamiiForums Tanzania Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…