gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la mgao wa umeme, itakayopunguza gharama na mgao

    SULUHISHO LA MGAO WA UMEME, ITAKAYOPUNGUZA GHARAMA NA MGAO Tatizo la umeme Tanzania limekuwa na viswahili vingi kutoka kwa Mamlaka na ni changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa miundombinu ya kutosha ni moja ya sababu kuu, tumekuwa tukitegema vyanzo vichache...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama hauna mambo mengi, daka Mitsubishi i-MIEV electric car, hafu sahau gharama za mafuta!

    Wadau wa JF Garage. Kuna chuma, EV kutoka kampuni la Kijapan Mitsubishi inaenda kwa jina Mitsubishi i-MIEV (Mitsubishi innovative Electric Vehicle). Hii unaweza kuipata BEforward kwa bei kati ya Mil 5 hadi 6 na kuendelea, na kodi zake (kwenye calculators ya TRA haipo) nimeulizia ni Tsh Mil 3.5...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kuongezeka kwa Deni la Taifa kunaweza kuongeza ukali wa maisha, gharama za uendeshaji wa Serikali zipunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeeleza kwamba kuendelea kuongezeka kwa deni la Taifa kunaashiria kwamba ukali wa maisha unaweza kuongezeka ukisababishwa na kulipa deni hilo. Ili kupunguza makali hayo wanashauri "Ni maoni yetu kuwa , ni muhimu kwa Serikali kupunguza gharama za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya repair ya Bafu na Choo

    Habari wakuu Nina mpango wa kufanya maboresho nyumbani na kwa kuanzia ninatamani kurekebisha choo na bafu, kuna tiles tayari ila style ya kizamani inaishia nusu ukuta so kwa sasa nataka kuweka full, pia bafu haikuwa na slope nzuri so maji hutuama fulani hivi. Naombeni ushauri kuhusu makadirio...
  6. wilsonwizzy

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako

    Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako, Kwa kusafishiwa kupitia njia ya kisasa kabisa ambayo inazifanya taa zako kurudi katika ubora wake Huduma hii imewavutia watu wengi wa jiji la mwanza maana imewasaidia kuepuka kuingia gharama kubwa za kununua taa mpya. Badala ya kutoa Tsh 400,000...
  7. Pearce

    JamiiForums Tanzania Urusi ni taifa lililolipia gharama kubwa kwenye Vita ya Pili ya Dunia 1939-1945

    TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani Molotov-Ribbentrop Pact 1939 Malengo wakigawana Ulaya Mashariki na Ndio ikawa chanzo cha vita ya pili ya Dunia sababu hatua za awali...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio gharama za kwenda kuombewa na Nabii mmoja aliyepo Buza

    Kama kuna utumwa wa akili unaoingia watu kwa Kasi siku hizi, basi ni hizi Imani kwa manabii; ✓ Unapofika utapigwa neno (na Ukweli ni kwamba sio neno la Mungu kwa kumaanisha, Bali ni promo tu), wakimaliza mtaambiwa TOA SADAKA. Halafu utaambiwa nunua maji na mafuta (ambavyo vitakugharimu tena...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Gharama za usafiri Air Tanzania zinatisha

    Habari wakuu Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio...
  10. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  11. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania RAISI mpya wa Senegal afuta Kodi za bidhaa muhimu ili kupunguza gharama za maisha

    Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika. Wakati hayo...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

    Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi. Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au...
  13. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania SoC04 Udhibiti wa Kupanda kwa Gharama za Intaneti Unavyoweza Kuongeza Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Kidigitali

    Utangulizi Kupunguzwa kwa gharama za intaneti ni suala muhimu linalogusa nyanja nyingi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingi za Afrika, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa kidigitali kupitia upatikanaji wa intaneti nafuu na yenye kasi. Katika makala hii, tutaangalia...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Vijana Acheni Maisha ya Gharama Kubwa Mkipata Fursa za Ajira

    VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

    Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake. Chuma David...
  16. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  17. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

    Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio) 3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati...
  18. mackj

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada ya usajili wa huduma za technolojia TCRA zinakatisha tamaa wabunifu wanaoanza (start-up innovators)

    Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
  19. Job Richard

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

    Salaam, Shalom!! Nilipokuwa katika ziara ya Utalii wa ndani, nimekumbana na kero hii ya magugu maji ziwa NYANZA. Ziwa NYANZA lilikua ziwa la kuvutia sana. Wataalam wasema, haya magugu ziwa NYANZA hayakuwepo miaka ya nyuma, ni mradi umetokea miaka ya hivi karibuni, Serikali na wanavijiji...
Back
Top Bottom