ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati (Michael Songora Mjinja)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati.Bw. Mjinja atapangiwa kazi nyingine. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa...
  2. uran

    JamiiForums Tanzania TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

    Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa. Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake, vikidai kwamba baada ya masaa nane ya kulalamika kuhusu maumivu ya tumbo, viungo vingi vya mwili...
  3. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

    Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, • Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza. • Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana...
  4. Ben-adam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

    Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti! Rafiki zangu vipii!😅 Simu tu siku hizi hautupigiani
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka Feisal alisema ili yeye arudi Yanga lazima Hersi atoke, nimecheka halafu nimechoka ghafla

    Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga. Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?😂😂
  6. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

    Kwa nini nafasi za kiharusi ni nyingi katika bafu VIPIGO huwa vingi kwenye bafu kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaloweka kichwa na nywele kwanza, ambayo ni njia mbaya. Kwa njia hii, ikiwa unamwagilia kichwa mara ya kwanza, damu huinuka kwa kichwa haraka na mishipa inaweza kupasuka. Matokeo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha gharama za huduma ya choo Stendi ya Mbezi Louis ishuke kutoka Tsh. 500 hadi 200 tu?

    Tulilalamika sana tozo hii kubwa ya kutukumoa hapa Jamiiforums miaka mingi sana ila mkawa jeuri kwa kutoipunguza huku mkituambia kwa dharau nyingi kuwa kama hatuna hiyo Tsh. 500/- ya maliwatoni (chooni ) hapo tujikojolee/tujisaidie midomoni mwetu. Leo GENTAMYCINE nimeshikwa na butwaa kubwa na...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ile dhana kuwa CHADEMA ni waganga njaa na walamba asali imeyeyuka ghafla. Wanaonekana wanauchungu na rasilimali za taifa lao. Wanaamika japo sio sana

    Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha. Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice. Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi Wamerejesha imani...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine mndani wa Putin afa ghafla, wataisha hawa jameni

    Matajiri wa Urusi wapo kwenye hali ngumu sana, wanauawa kama senene.... 40-year-old millionaire, suspected of having connections to Alisher Usmanov, dies in Russia On July 22, businessman and CEO of "IKS Holding," Anton Cherepennikov, passed away at the age of 40 in Moscow. The initial cause of...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuziba maskio yote mawili ghafla

    Habari wanajamii forum,Niende moja kwa moja kwenye mada,ninae mtoto wa kike alikuwa mzima anasikia vizuri kabisa!Sasa changamotoimekuja baada ya kwenda form five term ya pili2022Akiwa huko akawa hasikii ghafla!Aliporudi likizo tuakaenda kumfanya check-up wamesema Hana tatizo lolote!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Brigedia Mbuge akumbukwe ghafla huko jkt.

    Leo shemeji yangu mjeshi kanitembelea lakini muda wote ni kumtaja boss wao wa zamani kuwa angekuwepo nao leo hii wangekuwa na tabasamu kama majirani zao Jw. Nimejaribu kumdadisi kulikoni lakini hataki kufunguka zaidi ya kutoa tu sifa kwa Brigedia Mbuge kuwa laiti angekuwepo bado. Nimewaza...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  14. The Eric

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

    😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU, Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki? Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti. Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo...
  15. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari za engine ya 1NZ kuji lesi ghafla ikiwa idle

    Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu? Msaada tafadhali.
  16. Nominee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Habarini wakuu.Nahitaji msaada. Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza yangu.Huyu jamaa kwa makadirio ana umri wa miaka 37-40, basi nikiwa sina hili wala lile jamaa akanipa hai...
  17. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Swahiba wa Putin, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko alazwa baada ya kuumwa ghafla

    Nguvu nyingi ilikuwa inatumika kuficha hali ya afya ya huyu jamaa, wakawa wanakana na kusema yupo mzima anachapa kazi, maradhi yamemuumbua. Hivi Putin yuko wapi maana naye anaishi kama nguchiro tangu ile siku alikoswa koswa pale Klemrin ambapo drones zilimfikishia salamu. ==== Belarus...
  19. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

    Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo... Maombi yenu please nipate ahueni mapema.. Ahsante..
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Jengo la Millenium Towers, PSSSF watoa tamko baada ya lift kushuka ghafla na kujeruhi Watu 7

Back
Top Bottom