Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.
Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) Mhandisi Leonard Ngayungi amesema, kwa sasa kuna miradi mitatu ya BRT ambayo utekelezaji wake unaendelea huku ujenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili (BRT II) ukifikia asilimia 99 ambapo kwa sasa wako katika hatua ya mwisho ya...
Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Sh5 milioni au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.
Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 4...
Hichi kipande kimekuwa changamoto kila mvua inavyonyesha miksa machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga.
Jamaniii leo nimeshuhudia sononeko kubwa sana. Mtaa wa vifungashio ule nyuma ya pemba ni balaa mpaka vifuniko vya chemba vinaelea.
Kariakoo ni mkoa wa kikodi kwanini miundombinu ya...
Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia).
Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri.
Kwa hali hii, serikali iruhusu daladala kama kawaida kwa zile route ilizoondoaga daladala kama Kimara hadi Gerezani na Kivukoni...
Leo mahabusu wenye kesi mbalimbali kwenye mahakamani hasa Moshi Mjini, hawajafikishwa mahakamani kutokana na uhaba wa askari.
Askari wengi wapo kwenye shughuli ya uwashwaji wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa unaofanyika kwenye uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Mgeni rasmi kwenye tukio Hilo ni...
Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri.
Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi umeshalegea kabisa huna moyo tena. Turudi kuliamsha.
Malaria 2 nawe umelege legea tena. Shida nini? Gaza...
Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic.
Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa.
Alihamishiwa...
Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki mwenye ulemavu wa miguu, Oscar Pistorius ameachiwa huru leo kwa msamaha nchini Afrika Kusini baada ya kukaa gerezani kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Reeva Steenkamp.
Alimpiga mpenzi wake risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka 2013...
Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu.
Maagizo hayo yametolewa Novemba 20, 2023 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Mhe. Jumanne Sagini wakati alipokuwa...
Chama Cha Mapinduzi wa Iringa kwa kushirikiana na Mawakili wa TLS pamoja na Wanasheria toka Jumuiya ya Wanawake Taifa kufuatia Tamko la Mwenyekiti Merry Chatanda kuhusu kesi ya mama Maria Ngonda aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala jopo hilo lilifika gerezani na kuzungumza na mama huyo ili...
Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua.
Camara na wenzake walifikishwa...
Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi
Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo.
Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
Wana Bodi,
Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi.
1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama...
SIMULIZI; NIFE AU NIENDE GEREZANi
MTUNZI:Alli H
MWANDISHI: Intelligent businessman
SEHEMU YA 01
Ubaridi ulikuwa ukiingia mwilini utadhani nilikuwa nimeingia kwenye Jokofu lakini wala sikujali, nilichokuwa nawaza ni jinsi gani naweza kuwapoteza wanaonikimbiza...