gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Mawakili na Wanasheria wafika gerezani kuzungumza na aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Chama Cha Mapinduzi wa Iringa kwa kushirikiana na Mawakili wa TLS pamoja na Wanasheria toka Jumuiya ya Wanawake Taifa kufuatia Tamko la Mwenyekiti Merry Chatanda kuhusu kesi ya mama Maria Ngonda aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala jopo hilo lilifika gerezani na kuzungumza na mama huyo ili...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kijeshi na Rais wa zamani wa Guinea atoroshwa Gerezani

    Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua. Camara na wenzake walifikishwa...
  3. Half american

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Njia Panda Ya magereza😅😅😅

    Njia za kumpeleka mwanaume JELA ziko nyingi sana😂😂😂
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtalaka aliyeghushi umiliki wa ghorofa arejeshwa gerezani

    Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo. Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa watano utumishi wao haujatukuka

    Wana Bodi, Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi. 1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama...
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Nife au niende gerezani?

    SIMULIZI; NIFE AU NIENDE GEREZANi MTUNZI:Alli H MWANDISHI: Intelligent businessman SEHEMU YA 01 Ubaridi ulikuwa ukiingia mwilini utadhani nilikuwa nimeingia kwenye Jokofu lakini wala sikujali, nilichokuwa nawaza ni jinsi gani naweza kuwapoteza wanaonikimbiza...
  8. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ngoja mimi niendelee kuozea gerezani

    Nakumbuka kipindi chote cha miaka kumi na mitano,nilipokuwa miongoni mwa wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,miswada mingi ya sheria ilipokuwa ikiletwa bungeni tena mingine kwa hati ya dharura, sikutaka kabisa kujihangaisha kuipitia kwa umakini kabla sijashiriki kuipitisha...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  10. Siku Hazifanani

    JamiiForums Tanzania Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

    Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira, Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi...
  11. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Daladala za Masaki - Gerezani ni chafu, baadhi zina kunguni

    Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu. Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/ Kuna daladala zimekuwa na kawaida...
  13. FIKRA NASAHA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wafungwa kabla ya kutoka gerezani waandaliwe kisaikolojia

    Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  15. ONJO

    JamiiForums Tanzania Yohana mbatizaji alistahili kutupwa gerezani

    Kwa wale mlioona jua leo hongereni,zaidi sana.Heri yao walioona jua na kulifanya kuwa makao usiku na mchana. Najieleza, Yeremia 1:4 inasema kabla hujazaliwa nilikujua,na baada ya kuzaliwa nilikutakasa. Yohana 6:18 inasema yohana alikuwa amemwambia Herode;si halali kwako kumchukua mke wa ndugu...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Majaji wastaafu wataka mahakama ichunguze vifo tata Polisi, Gerezani

    Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata. Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa wakishirikiana na Sabaya nao wahojiwe au Sabaya aachiwe.” “Mbona Serikali inachagua, kama ni hivyo basi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Gerezani - Mbagala kukamilika Aprili 2023

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema awamu ya pili ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi tatu, utakamilika Aprili. Mradi huo unahusisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 20.3. Pia ujenzi wa vituo 27 vya mabasi ya...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Sabaya atatolewa gerezani, akina Halima Mdee wataondolewa ubunge na kuanzisha chama kipya ama kuelekea ACT Wazalendo

    CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema. Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mchungaji wa Nigeria anayedaiwa kukutwa na Heroin afariki gerezani

    Mchungaji na mfanyabiashara raia wa Nigeria, Henry Ozoemena, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 20 za dawa za kulevya aina ya Heroine, amefariki dunia baada ya kupata shambulio la moyo akiwa mahabusu katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam. Wakili Yasin ameieleza Mahakama ya...
Back
Top Bottom