gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu akitoka gerezani atamkuta Heche kabaki peke yake kwenye Chama. Hapo ndipo watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba

    Sasa ndio mtajua kuwa Chadema ilijengwa na Mhe. Mbowe au Lissu. Gharika kubwa zaidi inakuja. hakuna atakaye salia, Katibu Mkuu, Kamati kuu, Bavicha, Bawacha, wazee wa CHADEMA wote watabwaga manyanga muda si mrefu. Atakaye enda gerezani kesho j.mosi 10/05/2025, asiache kumwambia ukweli chama...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MOFAT ya Tanzania yapewa tenda ya kuendesha Mwendokasi kipande cha Gerezani-Mbagala kwa miaka 12

    My Take Naunga mkono dhana ya uwekezaji wa ndani kuliko wa Nje. Wawekezaji wa ndani wenye uwezo jitokezeni mkamate tenda na muoneshe ufanisi tusiwe kama Mwendokasi ya UDART. https://www.instagram.com/p/DLPL2x6IBJ2/?igsh=ejdmNzRuMzZuY3k5 --- KAMPUNI ya Kizalendo ya Mofat imepewa mkataba wa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku 10. Uwe mwaminifu hata kufa

    Wadau hamjamboni nyote? Msiwe na wasiwasi wadau! --.be thou faithful unto death, and I will give thee a crown of life Ufunuo wa Yohana 2:11
  5. M

    JamiiForums Tanzania Leo pale Kisutu kama sio busara za mahakama watu walikuwa wanaenda kula miezi sita gerezani kwa contempt of court

    Kuweni na adabu mahakamani, huwezi muona hakimu kakaa pale wewe unapiga makelele ya kijinga no reform no election. Wengi tumewahi kwenda jela kwa milio ya simu zetu tu, wengine tumekula vibano jela kwa kucheka mahakamani. Mahakama iheshimiwe, unajitia mwendawazimu sasa, umehangaika kimataifa...
  6. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Freeman Mbowe alikaa gerezani wakati wa ile kesi yake ya ugaidi?

    Nimeanza kupata mashaka sana na sarakasi za huyu 'mpambanaji'. Alikuwa anapambania tumbo lake. Ni kweli alikaa gerezani kipindi kile?
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

    Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Mlindeni Tundu Lissu ikiwezekana kwa Sasa awe anaonana na ndugu tu na sio mtu mwingine pale gerezani

    TISS nawaagiza acheni mzaha na ulinzi na usalama wa watu potential nchii hii itaangukia kwenye machafuko!! Mlindeni Tundu Lissu ikiwezekana kwa Sasa awe anaonana na ndugu tu na sio mtu mwingine pale gerezani. Watu watasimama kuhesabiwa acheni kucheza na usalama wa Taifa. Hawa washamba wa...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Masheikh Waliokaa Gerezani miaka 9 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Masheikh waliokaa Gerezani miaka 9 wamehukumiwa kunyongwa Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali. Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru. MASHEIKH wengine bado wanasota jela.
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu yoyote ya Lissu kuendelea kuteseka gerezani

    Pamoja na kwamba sikubaliani na Lissu kifalsafa ya maisha lakini sipendezwi kabisa na uwepo wake gerezani. Lissu ni msomi mkubwa. Alumni wa UDSM. Ni moja Kati ya think tankers na hazina ya taifa hili la Tanzania. Gerezani sio sehemu anayopaswa kulala.. Nimezaliwa mwaka 85 nimeanza primary...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Nitaenda kumuona Lissu Gerezani

    Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee amesema ataenda kumuangalia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu gerezani licha ya mambo yaliyojitokeza baina yake na chama hicho. Akizungumza akiwa jijini Dodoma jana, Mdee ambaye yeye na wenzake 18 walitimuliwa katika chama...
  14. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Lisu kuwa gerezani chini ya serikali ya Mama Samia kunaweza kuleta Ufa kwenye Muungano!

    Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya. Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kumchukua mtuhumiwa gerezani na mkumpeleka sehemu isiyojulikana huu ni utekaji

    Utekaji nyara ni kitendo cha kumchukua mtu na kumpeleka sehemu flani isiyojulikana, hivyo ni wazi kusema Lissu ametekwa. Kwa kitendo cha kuchukuliwa kwa Lissu gerezani na kupelekwa sehemu isiyojulikana ni utekaji nyara na kina kiuka haki za msingi za kibinadamu. Soma Pia: Lissu aondolewa Keko...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  18. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Mzungu John Robert Maitland, alifungwa Tanzania miezi 6 lakini bado yuko Gerezani Segerea zaidi ya miaka 10?

    JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera. Alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini ya Shilingi 80,000 za Kitanzania au kifungo cha miaka...
  19. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania R-Kelly na Vibaovipyaakiwa gerezani nivya kujutia!

    NimesikilizaVibaovipyavya mwanamzikinguli R-Kelly aka ROBERT KELLY ameshusha nyimbo mpya na nzuri ila zote ni zakumtukuza Mungu na kujutia ila ni nzuri sana! Msikilize Hapa Toa Maoni yako ila mimi nimemuonea Huruma namuombea Trump amfungulie kama ambavyo wamarekani wamekuwa wakiomba atolewegerezani!
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wafungwa kuanza kupewa ujuzi gerezani na vyeti vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
Back
Top Bottom