gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima: Lissu amepona Risasi 16, Sasa yupo Gerezani, Je, watu wake watapiga Kura?

    Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Ni lini Mbowe alienda Gerezani kumona Tundu Lissu?

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda Gerezani kumona mwanafunzi wake wa siasa Tundu Lissu?
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Gerezani Street

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station, near Dar port. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 1.5B. For more information or to schedule a viewing, kindly contact...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu. Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

    Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Mkenya aliyepotea Saudi Arabia kwa miaka 12 apatikana amefungwa gerezani kwa makosa ya uchawi.

    Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot available for Sale at Gerezani Street

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station, near Dar port. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 1.5B. For more information or to schedule a viewing, kindly contact...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee

    Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee. Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee. Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Prime area For Sale at Gerezani Street

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station, near Dar port. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial Document: Title Deed. Price: Tsh 1.5B. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Gerezani Day 2025

    GEREZANI DAY 2025 Gerezani ina umuhimu wa pekee katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Katika jambo ambalo sikulitegemea wala kutarajia ni siku Salum Matimbwa aliponirushia ukurasa mmoja wa shajara (diary) ya baba yake, Abdallah Matimbwa aliyokuwa akiandika wakati wa kupigania uhuru...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Humphrey Polepole kumtembelea Tundu Lissu gerezani. Je wataenda kuteta nini?

    Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu. Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
  14. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

    IDU wametoa statement ya kufatilia tetesi za mpango wa makatili kumuwekea Lissu sumu. Itakumbukwa ya kuwa Lissu amekuwa mwiba mchungu kwa serikali za Tanzania. IUD wamesema watatoa daily update kuhusu njama izo. ============= IDU imeshtushwa na taarifa za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

    Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

    Habari zenu wauu lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa...
  17. KiTanzania

    JamiiForums Tanzania KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

    Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote. Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa Waumini hakuna kusali,Lissu gerezani hakuna kuabudu ?

    Heshima sana wanajamvi. Najiuliza kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa waumini wake hawana fursa ya kuabudu. Kanisa la Askofu Mwanamapinduzi limefungwa hakuna kuabudu. Lissu gerezani hakuna kuabudu ! Je hii imekaaje ?. Ngongo kwasasa Ukonga.
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Muachieni Tundu Lissu. Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli

    Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli , LISSU sio Dalali Mbowe , huyu jamaa ni mwingine kabisa, na jinsi navyomuona, LISSU ni MTU mwenye Nguvu Fulani ya uungu Ndani yake !!. Nilitegemea Kwa mwingine, Alie liee yaan aseme 'Sasa Mh Hakimu, nalala sehem mbaya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu alalamika kunyimwa haki ya kuabudu gerezani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu amelalamika kunyimwa haki ya kuabudu kwa takribani siku 68 tangu alipokamatwa na kupelekwa gerezani. Lissu ametoa taarifa hiyo siku ya Jumatatu Juni 16, 2025 alipopewa nafasi ya kuzungumza katika Mahakama ya Hakimu...
Back
Top Bottom