gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiachiwa, mikutano yake ya hadhara itajaa sana, na ikiwezekana mkutano wake wa kwanza uwe Mbeya alikokamtwa kabla ya kuwekwa gerezani

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, huo ndio mtazamo wangu na pia ni ushauri wangu kwa chama iwapo Tundu Lissu ataachiwa kutoka gerezani. Tundu Lissu akiwa gerzani shida, akiwa nje shida. Mtajua hamjui.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi

    Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi Source. Gazeti la mwananchi mtandao Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake jambo ambalo ni KINYUME ZA MKATABA WA KIMATAIFA KUPATA HABARI WAKATI WOWOTE
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kukaa gerezani sasa hivi ni 'liability' kubwa zaidi kwa watawala feki, kuliko akiwa nje ya gereza

    Kama wanafikiri kuwa kumweka gerezani Tundu Lissu ndiyo njia itakayowasaidia kubaki madarakani, inabidi wajihoji tena na watagundua kwamba hali hiyo ndiyo itakayo harakisha anguko lao.. Waliua waTanzania kwa kufikiri kuwa njia hiyo itawatia uoga waTanzania wasiendelee kudai HAKI yao iliyoporwa...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Katika Imani, Je, mtuhumiwa uhalifu alie gerezani mahabusu anaruhusiwa kufunga kwarema au ramadhani?

    Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao. Je, ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Heche: Nimezuiwa kuonana na Mwenyekiti Tundu Lissu Gereza kuu Ukonga kinyume cha sheria

    Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo. Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

    Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama. Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Gerezani siyo sehemu ya adhabu tu, ni sehemu ya uzalishaji

    Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Guinea-Bissau apata uhuru kutoka gerezani

    Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa. Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Exclusive documentary!... TUNDU LISSSU shujaa. Karibu tena Uraiani baada ya takribani miezi 10 gerezani kwa kesi ya uongo wa kubumba..!

    https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_ HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida... Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu waTanzania watambue na kukumbushwa kwanini Tundu Lissu yupo Gerezani hadi sasa

    Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani. Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama wangekuwa na njia ya kumwondoa huko bila ya kuonekana kuwa wameshindwa kumdhibiti wangefanya hivyo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Tundu Lissu Yuko gerezani?

    Salaam! Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani, Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea? Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa. Ninyi GEN...
  14. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Gerezani sio sehemu nzuri

    Gerezani ni mahala ambapo kila Mtu apendaye Uhuru anapaona bora uwe hospital umelazwa hata kama hujui ni lini utapa ahueni ila utakuwa na tumaini la Uhuru na kukutana na wapendwa wako kwa wakati. JeLa ni mahala panapozima Furaha na Matumaini ya Mwanadamu hata wale Wategemezi wake au Maisha yake...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kwanza wa Niffer baada ya kutoka gerezani

    Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake. Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magereza yajibu malalamiko ya CHADEMA kuzuiliwa kumuona Lissu gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Lissu yupo mahabusu kwa kesi ya uhaini inayomkabili kwa takriban miezi minane sasa, tangu alipokamatwa Aprili 2025...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

    Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani? Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani? Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform? Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi? Je itawapata...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu uso kwa uso na Sugu. Amwagiza akamtembelee gerezani, Sugu ajitetea

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mbunge Mstaafu wa Ubungo kupitia chama hicho). sauti ya Lissu imesikika ikisema...
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

    Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Said anataka Heche na Mnyika wapelekwe gerezani

    Mawakili Gido Semfukwe na Shaban Marijani wanaowawakilisha aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili, kwenye kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025 walioifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar dhidi ya vigogo wa CHADEMA wakiongozwa...
Back
Top Bottom