Hii ndiyo tofauti gari ya Mzungu na Mjapani

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
20210111_204134.jpg

The picture tells 1000 words...
 
Nje ya mada. Kwanini milango kwenye magari yanayotumia umeme hujilock inapotokea dharula ya moto? Au ni uvumi wa watu. Kwanini ktk dharula hiyo isifunguke ili kumpa nafasi aliyeko ndani kutoka?
Nahisi tu... milango ya gari imezungukwa na mpira (rubber seal) kwa ajili ya kuzuia maji na vumbi so kinachotokea gari likiwaka moto zile rubber zinayeyuka na kuwa gundi na kufanya mlango uwe ngumu kufunguka

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nje ya mada. Kwanini milango kwenye magari yanayotumia umeme hujilock inapotokea dharula ya moto? Au ni uvumi wa watu. Kwanini ktk dharula hiyo isifunguke ili kumpa nafasi aliyeko ndani kutoka?
Km ni ajali lazima ijirock ili kumpa guide aliendan asitoke nje na seat belt hufunguka kurud nyuma ili kuzuia usukan
 
View attachment 1675031
The picture tells 1000 words...
Watu waoiponda toyota, hawajawahi fuatilia philosophy ya hawa wajamaa. Laiti kama wangefuatilia philosophy yao wange appriciate effort zao.
Kuna kitabu kinaitwa the toyota way, kuna nondo za maana. hizo nondo zimeshakua adapted hata na mataasisi makubwa duniani.
summary ya kitabu: The Toyota Way - Wikipedia



 
Ndio maana yake, Germans wana Over engineering na ndio inafanya gari iwe na matatizo lukuki. Nimeshangaa kuona hapo mguu mmoja una mikono 3 yenye bushing 3! Ikifa bush 1 unanunu zote,spear zitaacha kuwa aghali kweli.?
Tatizo wengi mna comment kwa hisia. Kaangalie gx100 Cresta ina mikono mingapi halafu Mimi nitakwambia vw golf ina wishbone moja mbele ambayo shape inafanana na ya corolla.
Gx100 ni arms kadhaa chini plus juu ina wishbone kubwa.
Mifumo ya magari ni ile ile yanatofautiana vitu vidogo sana.
 
Back
Top Bottom