Mbagala: Lori lililobeba saruji laanguka, Wananchi wajibebea mifuko ya saruji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,548
217,814
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.

Chanzo : Millard Ayo TV

MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo Polisi wanapaswa kuvishughulikia badala ya kupambana kuzuia Jogging za BAWACHA

Pia soma;

Thread 'Mbagala, Dar: Polisi yawanyakua watu 27 Walioiba Saruji kwenye ajali' Mbagala, Dar: Polisi yawanyakua watu 27 Walioiba Saruji kwenye ajali
 
Baada ya kutokea ajali ya gari la mizigo barabara ya Kilwa. Watu badala ya kumuokoa dereva na utingo wake wamekimbilia kuzoa sementi.

Hii ni dalili tosha kuwa Watanzania kwa sasa wana hali ngumu ya maisha. Wakati tunajisifia kukuza uchumi wakati mifukoni tupo pyeeeeeee.
 
Mida hii mtaa ya Mbagala watu wanaiba sementi baada ya gari lililokuwa limebeba mzigo huo kuacha njia na kugonga watu na nyumba.

Bado haijafahamika idadi ya watu waliofikwa na mauti au majeruhi zoezi limetatizwa na idadi ya vijana waliojazana badala ya kuokoa wanaiba sementi.

Mida hii ndio polisi wa doria wanafika

Hii tabia ya wizi kwenye ajari na bado hatujakoma tu, nImekumbuka siku gari lililosheheni vileo lilipoanguka na wanakijiji wakaanza kula ulabu polisi waliofika wakakuta mtaa mzima watu wamelewa.

USSR
 
mie kuna siku moja asubuhi saa kumi na moja mekuta canter ya bia imeanguka na kufunga njia, vijana wakajiokotezea vyupa wakawa wanakunywa hadi waokozi walipofika

songi la "bia tamuu" limeshika chati wiki hii
 
Apo mwenye mzigo anaombea muujiza utokee cement ilipuke ili kutoa funzo kwa wazee wa fursa kwenye misiba ya wenzao
 
Back
Top Bottom