Nyachiriga1961
Member
- Oct 6, 2021
- 11
- 6
Assalaam Wanabodi,
Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote.
Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na kutokuwa na mizunguko mingi hapa mjini (muda mwingi imepark).
Wale wenye kupenda safari ndefu hii itawafaa zaidi kwani ina nguvu na speed ni kubwa. Muhimu kuwa na na tahadhari tu barabarani.
Haina dalali, namba zangu ni 0769746211