Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
10,537
2,000
Duh aiseee pole sana. I hope umeshatoa taarifa kitu cha polisi na tayari wameshaweka macho maeneo yyote ambayo gari inaweza pitishwa ndani ya muda huu.....

Unaweza tupatia details zaidi kuwa gari ulipaki wapi katika hilo eneo, wewe ulikuwa wapi na ilichukua muda gani kugundua umeibiwa.

Ufunguo uliweka wapi?!

Ndani ya hizi siku kadhaa nyuma ni maeneo gani uliachia ufungua kwa mtu yaani funguo hukuwa nazo mikononi mwako ?!

Haya maswali yatatoa mwanga tujue namna ya kukushauri cha kufanya.
 
aldeo

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,670
2,000
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246
Weka picha za ubavun na mbele ili mtu awe na taswira ya gari Mana ku watu hawajui Pajero ikoje Wala land cruiser ipoje.

Hii itasaidia kuwafanya watu waweze kukusaidia pindi wakiina gari linalofanana na picha utakayowawekea.

Pole sana kwa kupoteza million zako kumi naa
 
May 25, 2021
99
150

Eti Kuna watu hawajui pajero au land cruiser ilivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom