Gari kuitwa Baby walker

fredo fred

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
747
1,611
BABY WALKER

Imezoeleka humu jukwaani magari mengi madogo kuitwa baby walker sana sana gari za Toyota kama IST,Vitz na Passo.

Lakini leo nitatoa maoni yangu kuhusu hizi baby walker.

Ukifuatilia vizuri utagundua kwamba asilimia kubwa ya gari ambazo zinaitwa baby walker ziko classified kama hatchback. Baadhi ni mini MPV, mini SUV na Station wagon

Hatchback ni muundo wa gari ndogo ambazo zinakuwa na milango mitatu ama mitano.

Karibia kila kampuni ya kutengeneza gari duniani huwa wanatengeneza muundo huu wa gari (hatchback) ambao huku JF unaitwa baby walker.
  • Gari nyingi zenye cc chini ya 1500 au chini ya cc 2000
  • Gari ndogo zote za Toyota (hapa ndo huwa sielewi kabisa unakuta Toyota yoyote inaitwa baby waker ila minicooper ambako na kenyewe ni kaogo kanasifiwa kuwa sio baby walker )
  • Gari za Toyota kwasabab zipo nyingi sana mfano IST kila kona zipo so watu wakaona waziite hivyo.
  • Kwasabab zipo nyingi hii inapelekea kuonekena hawana umakini barabarani ie kutanua bila sabab,kuovertake hovyo.
Hapa chini ni orodha ya gari ndogo mbalimbali nyingi zikiwa hatchback ambazo huku JF zinaitwa Baby walker

1. TOYOTA
Vitz,Passo/Boon,Sienta,Bb,Raum,Ractis,Ist,Starlet,Auris,Runx/Allex,iQ,Funcargo,Cami/Terios kid/Rush/Bego,Rumion,Aqua,Spacio,Celica,Duet/Storia,Pixis epoch, Will cypha,Will VS,Blade

2. NISSAN
March/Micra,Note,Cube,Moco,Tiida,Otti,Pino

3. SUBARU
Pleo plus, Trezia, Imprezza,

4. BMW
1 series, Mini cooper, Mini crossover

5. HONDA
Fit, Jazz, Accord, Civic, CR-Z, Insight

6.SUZUKI
Swift/Cruze/Splash,Kei,Wagon R,Alto,Jimny,Solio,SX4

7.MITSUBISHI

Colt,Mirage,

8.AUDI

A3,

9.VOLKSWAGEN

Up,Polo,Golf,Touran

10.MERCEDES BENZ

A class,B class

11. MAZDA

Demio,Verisa,AZ wagon, CX 3,Flair

12. FORD

Kuga, Fiesta,Focus,Ka

Ukifuatilia vizuri utagundua kuwa Toyota wana model za hatch back nyingi ambazo pia kwa wingi wake na hapa Tz zipo nyingi hivyo kupelekea jina la Baby walker.

So naweza kuconclude kwa kusema kwamba japo baby walker nyingi zinazotukanwa ni za kutoka kampuni ya magari ya Toyota vile vile zipo baby walker nyingi za kampuni nyingine kama Nissan,Bmw,Honda etc. Msiwatukane sana wamiliki wa Mijepu mnawaonea wengi wao ndo gari zao za kwanza kumiliki.

Karibuni team Europe( benz,bmw,audi,Volvo,skoda na wengineo) na team japan (Toyota, Nissan, Subaru, mitsubitsh, Honda na wengineo) mtoe maoni yenu.

NB. Hayo ni maoni yangu
 
Pambana Mkuu ununue SUV, shida ni hizo gari kuhimili safari ndefu, hivi gari Kama IST waweza safiri dar to mwanza , speed above 100kph non_ stop?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Haka kababy walker kana cc 2360 sio sawa na Ist unasafiri nako Dar mwanza bila shida yoyote so usidharau baby walker kwasabb wewe una SUV View attachment 1977736
FB_IMG_16344918514383380~2.jpg

Sent from my phone using JamiiForums mobile app
 
Pambana Mkuu ununue SUV, shida ni hizo gari kuhimili safari ndefu, hivi gari Kama IST waweza safiri dar to mwanza , speed above 100kph non_ stop?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tumewahi fuatana na kirikuu toka moro usiku mpk njia panda kasumulu kilikuwa kinaenda malawi tena wastani wa speed ulikuwa karibia 100km/h kimahesabu,kitu unachoshindwa kuelewa uzito wa gari unawezana na uwezo engine iliyomo ni suala la hesabu tu.
 
BABY WALKER

Imezoeleka humu jukwaani magari mengi madogo kuitwa baby walker sana sana gari za Toyota kama IST,Vitz na Passo.

Lakini leo nitatoa maoni yangu kuhusu hizi baby walker.

Ukifuatilia vizuri utagundua kwamba asilimia kubwa ya gari ambazo zinaitwa baby walker ziko classified kama hatchback. Baadhi ni mini MPV, mini SUV na Station wagon

Hatchback ni muundo wa gari ndogo ambazo zinakuwa na milango mitatu ama mitano.

Karibia kila kampuni ya kutengeneza gari duniani huwa wanatengeneza muundo huu wa gari (hatchback) ambao huku JF unaitwa baby walker.
  • Gari nyingi zenye cc chini ya 1500 au chini ya cc 2000
  • Gari ndogo zote za Toyota (hapa ndo huwa sielewi kabisa unakuta Toyota yoyote inaitwa baby waker ila minicooper ambako na kenyewe ni kaogo kanasifiwa kuwa sio baby walker )
  • Gari za Toyota kwasabab zipo nyingi sana mfano IST kila kona zipo so watu wakaona waziite hivyo.
  • Kwasabab zipo nyingi hii inapelekea kuonekena hawana umakini barabarani ie kutanua bila sabab,kuovertake hovyo.
Hapa chini ni orodha ya gari ndogo mbalimbali nyingi zikiwa hatchback ambazo huku JF zinaitwa Baby walker

1. TOYOTA
Vitz,Passo/Boon,Sienta,Bb,Raum,Ractis,Ist,Starlet,Auris,Runx/Allex,iQ,Funcargo,Cami/Terios kid/Rush/Bego,Rumion,Aqua,Spacio,Celica,Duet/Storia,Pixis epoch, Will cypha,Will VS,Blade

2. NISSAN
March/Micra,Note,Cube,Moco,Tiida,Otti,Pino

3. SUBARU
Pleo plus, Trezia, Imprezza,

4. BMW
1 series, Mini cooper, Mini crossover

5. HONDA
Fit, Jazz, Accord, Civic, CR-Z, Insight

6.SUZUKI
Swift/Cruze/Splash,Kei,Wagon R,Alto,Jimny,Solio,SX4

7.MITSUBISHI

Colt,Mirage,

8.AUDI

A3,

9.VOLKSWAGEN

Up,Polo,Golf,Touran

10.MERCEDES BENZ

A class,B class

11. MAZDA

Demio,Verisa,AZ wagon, CX 3,Flair

12. FORD

Kuga, Fiesta,Focus,Ka

Ukifuatilia vizuri utagundua kuwa Toyota wana model za hatch back nyingi ambazo pia kwa wingi wake na hapa Tz zipo nyingi hivyo kupelekea jina la Baby walker.

So naweza kuconclude kwa kusema kwamba japo baby walker nyingi zinazotukanwa ni za kutoka kampuni ya magari ya Toyota vile vile zipo baby walker nyingi za kampuni nyingine kama Nissan,Bmw,Honda etc. Msiwatukane sana wamiliki wa Mijepu mnawaonea wengi wao ndo gari zao za kwanza kumiliki.

Karibuni team Europe( benz,bmw,audi,Volvo,skoda na wengineo) na team japan (Toyota, Nissan, Subaru, mitsubitsh, Honda na wengineo) mtoe maoni yenu.

NB. Hayo ni maoni yangu
Asante Mungu. Bora ki corsa changu hakikutajwa
 
Back
Top Bottom