Doreen Kabareebe: Marufuku mwanaume yeyote asiye na gari kunipigia simu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,718
Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu.

IMG_1622.jpg

Picha ya pili.

Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na kamera za shilawadu akipanda bodaboda anarudi nyumbani kwake.

IMG_1623.jpg

Tunao sikilizaga redio na kuangalia vipindi kwenye tv.
 
Haya ni maisha tu na uzuri gari sio password ya kuzuia kifo wala kuupata ufalme wa mbingu. Hizo nyodo na kejeli ni sababu ya uzima anaompa mungu
 
Back
Top Bottom