Wasalaam
Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma[emoji20] Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.
Hali hii iliniacha kwenye fedheha na simanzi, japo abiria wangu...
Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini.
Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza.
Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
Habari za mida hii.
Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu).
Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants].
.
Sasa watu wengi hatukijui so huwa kinakaa kinajaa uchafu kinaziba au kinafanya upenyo wa hewa kuwa wa...
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.
=====
Polisi Dodoma...
Ni Mwishoni mwa mwaka 2021 Kipindi cha sikukuu Kabla hatujaupokea mwaka Kimario alinipigia simu asubuhi asubuhi akaniambia kuna issue very sensitive anahitaji msaada wangu, Nilijaribu kudadisi issue ni nini akaniambia ni muhimu tuonane kwanza ndio ataniambia.
.
Alisisitiza issue ni sensitive...
Wakuu habarini za humu.
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri.
Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
Wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamefariki Dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Juni 4, 2022 jioni katika moja ya barabara zilizopo chuoni hapo.
Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrice Baltazar amesema ajali hiyo imetokea jana Juni 4, 2022 saa...
Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani.
Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda.
Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
Habari za jioni ndugu zangu,
Sina uzoefu na magari ila nimejichanga na nimepanga kununua gari isiyozidi 16M na yenye cc isiyozidi 1490cc mpaka 1990cc. Kwa muonekano wa nje mana sio mzoefu wa magari nimevutiwa na Toyota Runx, Allex na Premio ( Mawazo yanaweza kubadilika kulingana na ushauri...
Kampuni ya Mercedes-Benz, Ijumaa ya Mei 20, 2022 iliweka rekodi ya kuuza gari la gharama zaidi Duniani, ambalo ni Mercedes-Benz 300 SLR ‘Uhlenhaut Coupe’ ya mwaka 1956 kwa kiasi cha dola milioni 142.7 sawa na Tsh. bilioni 330.
Kabla ya hapo gari aina ya Ferrari 250 GTO ya mwaka 1963 ndilo...
Kwenye pita pita zangu nimekutana na gari ya kwanza kabisa kusajiliwa kwa hapa nyumbani..
Haraka haraka inaonekana hii gari ni ya Mchaga.. AC ya kujaza.. Spare Tyre na spanner havipo..
Gear Kirungu..!
Wale wanaosubiri namba E.. Mnaweza kununua hii iconic car kupiga misele wakati mnasubiria...
Makata kudai ambulance kuwepo uwanjani ni suala la kikanuni na Ambulance haikuwepo uwanjani bila kujali kuwa ilikwenda wapi kufanya nini. Ambulance ni gari maalumu lenye miundombinu inayoweza kuokoa maisha ya mgonjwa mwenye afya mbaya wakati anakimbizwa kuwahi matibabu kamili ya hospitali.
Sio...
Jumatatu, Mei 16, DP alikuwa katika kaunti ya Kajiado ambapo yeye, pamoja na mgombea mwenza wake aliyeteuliwa hivi karibuni Rigathi Gachagua na viongozi wengine walikuwa wakijipigia debe.
Hata hivyo, walipokuwa wakiondoka Rongai, wenyeji waliachwa kwa mshangao baada ya mmoja wa wasaidizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.