gari

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

    When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you. Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari. So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu. But...
  2. kali linux

    JamiiForums Tanzania Makabila Maarufu Tanzania na Aina za gari (vehicle make & models) wanazopendelea

    Mie naanza na hawa. Wasukuma = Klugger na Harrier Wachaga = Rav4 na Prado. Wahaya = Rav4 Wamakonde = RangeRover:) (Wakimuiga ndugu yao Konde Boy) Wengine jazieni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Agiza au nunua gari kutoka kwetu

    Ondoka na hii Toyota Rumion 2007 ✅CC 1490 ✅2WD ✅Black Mettalic ✅ Automatic ✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l ✅Bima bure(Third party) ✅BEI:17M Pamoja na usajili LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa nusu gharama nyingine lipa kidokidogo kwa mwaka mzima(mkopo) Ipo #MillesMotors Sinza Mori...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watatu wa familia moja wafariki kwa kugongwa na gari Arusha wakipeleka mtoto hospitali

    Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa Kata ya Terat katika Jiji la Arusha wamepoteza maisha papo hapo kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakitoka hospitalini wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki. Tukio hilo la kusikitisha limetokea mapema leo Julai 13, 2022, majira ya saa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania FAw Vs Shackman Truck

    Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
  6. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Radio ya gari (Android radio), brand gani ni bora?

    Wakuu, salaam Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality? N.B: Exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa kuharibika mapema sana. Gari ni Toyota ist (old model).
  7. E

    JamiiForums Tanzania TBS chunguzeni ubora wa hili gari unatia shaka

  8. Cheology

    JamiiForums Tanzania LATRA bado mmelala; hamjatoa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Wasafirishaji wanaamua nauli zao

    Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
  9. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa. Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak... Je...
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

    Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu? Kwakuwa mara nyingi nakuwa na safari za kwenda Dodoma kikazi (maana ndipo ilipo Serikali), basi gari langu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  12. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Baridi ya Njombe yahatarisha maisha, Dereva ashindwa kuendesha gari kutokana na Barafu

    Hii baridi ya mwaka huu ni noma Sana, 👇 ---- Ikiwa bado hali ya hewa ya baridi kuwa kali katika baadhi ya maeneo nchini ikiwemo Mkoa wa Njombe kupelekea shughuli za kiuchumu kuwa na ugumu katika utekelezwaji kutokana na wakazi wa maneno hayo kupunguza muda wa kufanya kazi kwa kutafuta vyanzo...
  13. Luhama

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari used

    Habarini wakuu. Ninahitaji gari kati ya IST, Vitz, Swift na Suzuki Jimmy. Budget yangu ni 5.5. Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja. Asanteni.
  14. Billionaire101

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 inauzwa

    Habari Waungwana. Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 Inauzwa Ipo kimara Dar es salaam.Imechukuliwa🤝
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nauza mziki wa gari full kabisa

    Habadi z majukumu, Nauza mziki wa gari full kabisa, busta Watts 1,3000 Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja) Equlaizer Vyote Kwa pamoja nauza 800,000 Unachukua na kufunga katika gari, ni mziki mkubwa saana unafaa hata katika coaster ama Escher na gari yoyote Mawasiliano...
  16. ziggibro

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0767553726
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

    Soma hapa:-
  18. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

    Wasalaam Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma[emoji20] Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna. Hali hii iliniacha kwenye fedheha na simanzi, japo abiria wangu...
  19. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kubadilisha umiliki wa gari

    Naomba kujuzwa gharama za kubadili jina kwenye kadi ya gari niliyonunua.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

    Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini. Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza. Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
Back
Top Bottom