Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.
NB: Nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga
Wanajamvi Salaam.
Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi.
Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka.
Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa.
Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp).
Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
Wadau kwemaa!
Katika pita pita zangu youtube nimekutana na videoz zinaonyesha uwezo wa colgate kufuta mikwaruzo katika body ya gari
Nikaona nilete hapa JF ilikujua kama je ni kweli ichi kitu kipo applicable?
Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi.
Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza.
Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako
1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi?
2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
Habari wakuu,
Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza.
Mchangiaji wa kwanza ameorodhesha;
Shipping lines=150,000
Wharfage =115,000
Port charges =250,000
Plate number =30,000...
Nauza piki piki ya watoto Electric quadbike 4×4
Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v)
Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales)
Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10
Price 400,000/=
Kama unahitaji tuwasiliane 0764108259
Tunafanya delivery popote
Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Kwema Wakuu,
Za Weekend?
Gari yangu nilibadilisha Gasket last week, Sasa toka hapo imekua inatetemeka napokua nimesimama kwenye Mataa labda. Pia asubuhi nikiiwasha inawaka na kuzima. Mpaka nirudie rudie mara kadhaa ndio mwishoni litakubali.
Yaan nikiwasha linatetemeka na nikitia Gia labda ndo...
Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu
Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa sana mtaani. Je, zinakuwa kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa...
Emmanuel Myamba almaarufu Pastor Myamba; ni staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye alikuwa muigizaji mwenza katika filamu nyingi za marehemu Steven Kanumba.
Pastor Myamba amedhibitisha kupata ajali mbaya wikiendi iliyopita ila wakapona bila majeraha mabaya. Pastor Myamba ambaye wengi wanamfahamu...
Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu
Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi pindi ninapowasha hiyo gari
Natumia gari aina ya chaser GX100 ila kila siku asubuhi nikiwasha gari...
Kwema wadau?
Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota
NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE]
AZ engines[1AZ, 2AZ]
na ZZ engines [1ZZ sanasana]
Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu hata nikianza kuzitaja ni nyingi sitamaliza, lakini huenda zaidi ya 50% ya gari ndogo ambazo watu...
Wana jf ushamba mzigo mwenzenu Msukuma Mimi wa Maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini).
Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.