Habarini wakuu,
Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu.
karibuni..
Wadau nina gari 3 ambazo nakodisha kwa watu moja ni Toyota Rumion, Toyota Crown na Toyota IST. IST na Crown zimeshapata watu ambao watakuwa wanazitumia.
Imebaki RUMION. Dereva unapewa anakuendesha unapoenda popote ndani ya nchi. Mafuta ni juu yako ila utalipa pesa ya kukodi ambayo sasa...
Msaada kwa yoyote anaeweza kunipa dalili zinazoashiria kuwa diode ina fault kwenye alternator ya gari.
Gari yangu ikiwa kweny silensa taa za dashboard zina blink bila kutulia, hazitulii zikiashiria kuna shida. Mshale unaosoma speed pia unazunguka mara kwa mara wakat gari ipo silensa. Hii...
Wakuu leo kumetokea ajali mbaya sana Bagamoyo.
Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajari hii atujuze.
===
Coaster inayofanya safari zake kutoka Bagamoyo kwenda Morogoro, imepata ajali kwa kugongana na Canter katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo asubuhi ya January 8, 2023.
Watu watano...
Sidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa...
Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana
Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5
Body ni station wagon
Sasa kwanzia jumapili gia zinaingia Kwa tabu sana hasa namba Moja na reverse na niligundua Hilo pindi nimetoka...
Tairi zipo 2 rim ziko 4
Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua
Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja)
Rim pekee laki na 80
Mazungumzo yapo kwa aliyepo serious
Year of Manufacture: mwaka jana (2021) katikati
Mzigo upo DSM, Sinza Kilimani...
Habari wanajamvi,
Kutokana na bei za magari zimepanda sana, nahitaji kununua gari used la mkononi/yaliyotumika tanzania lenye hari nzuri. Bei kuanzia mil 7 hadi 12.
Wapi ntapata wanakokopesha magari used kwa rejesho la kila mwezi.
Uwezo kurejesha laki 5 hadi 8 kwa mwezi. Na natanguliza mil...
Wakuu habari za majukumu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina Gari spacio new model nilipata Ajali nikapinduka nayo matairi juu baada ya kuparamia gema, haikuchukua dk kumi nikasaidiwa Gari tukainyanyua.
Engine haina mbinyo wowote isipokuwa rejeta imesogea kidogo na iliingiwa na udongo...
Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama,
1. Mercedes Benz S class (2022)
2. Audi A8(2022)
3. Lexus LS (2022)
4. BMW 7 SERIES (2022)
5. Volvo s90 (2022)
6. Volkswagen Atlas (2022)
7...
Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti na garage tofauti ikiwepo Kinondoni na Ilala wamediagnos na kukosa...
Habari wana jf
tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwa muda wa siku 7 mpaka 14
ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili...
Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI?
Anaandika, Robert Heriel
Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.