gari

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza gari used toka Afrika Kusini

    Salam wakuu, Ikiwa umenunua gari Toyota Double cabin kutoka nchini South Africa unataka kuiingiza Tanzania utaratibu inakuaje wadau?
  2. JamiiForums Tanzania Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  3. JamiiForums Tanzania Kusafiri gari moja na watu wa jamii ya kifugaji ni kero

    Hapa namaanisha Wamasai, Wagogo, Wasukuma na Mang'ati hawa watu usafi kwao ni sifuri wanajifunika na mashuka na mablanketi yanayonuka sana na mara nyingine yana kunguni na chawa. Usafi wa kinywa hawazing'atii wananuka midomo sana hawa watu usiombe ukae nao siti moja utajuta. Mara nyingi...
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa - Nissan March

    Nissan march Top speed 200 Cc 1400 Bei 5.5 million BIMA IPO HAIDAIWIII Sound option on steering Full ac na full file Gari haina changamoto yoyote ile ya ufundi Ipo dar es salaam , sinza 0784020604
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa, ipo Dar es salaam

    Altezza Lexus Engine beams 2000 Bei million 4.6 Full ac na document Gari haina kipengele chochote kile, ipo Dar es salaam. Nicheki: 0784020604 Maongezi kwenye gari tafadhali.
  6. JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya shule ni hatari kwa maisha ya watoto wetu

    Siku Hizi kumekuwa na trend ya matukio kadhaa ya madereva wa gari za shule 'School Bus' kuwa rough njiani, na hawako makini kabisa, hawajali kabisa kama wamebeba watoto ndani ya gari hizo. Hii video ni moja ya matukio ambayo yamekamatwa kwenye camera Gari ya shule yenye jina la MARTHA...
  7. JamiiForums Tanzania Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

    Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari. 2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

    Habari wakuu. Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C. Engine: cc1490 Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo - Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla...
  9. W

    JamiiForums Tanzania CIF ya gari vs calculator ya TRA

    Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI. CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka? Ipi I atakuwa iwe kubwa? Cif ya gari au TRA culculator?
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka kununua gari kwa gharama zisizo stahili

    Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei. Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua. Nitazungumzia...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  12. JamiiForums Tanzania Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
  13. JamiiForums Tanzania Dereva Tax mtandaoni. Natafuta kazi

    Baada ya kimya kwa muda mrefu kwa changamoto za hapa na pale za kidunia nina mshukuru mungu kunipambania na kunipa afya njema na kurudi imara. Wakurugenzi wangu mim ni kijana wa kitanzania ambae makazi yangu ni jiji la Dar es Salaam ombi langu kubwa natafuta gari la kupeleka hesabu kwa boss...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Car4Sale X-Trail inauzwa Tsh. Milioni 10.3

    Gari Nissan xtrail for sale Dar es salaam: Mwenge Milion 10.3 Karibuni. Namba: 0747713713
  15. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa Mwanza

    Gari inauzwaa mwanza Million 24, ina kila document muhimu inayohitajika. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255 769 088 152
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alishuhudia gari lake lililoshambuliwa kwa risasi, asema ataomba kulichukua

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma. Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva...
  17. JamiiForums Tanzania Unatakiwa kumiliki gari na pesa za kutosha uache kusumbua watu

    • Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha. • Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo. • We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda daladala unasumbua vimbaumbau we kanunue gari yako binafsi ili ujinafasi. • Kijana ukihisi huwezi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 7 wa Niger wauawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini

    Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema. Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
  19. JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi Superwoman ya Phina Vs Superwoman ya Zuchu ipi imetulia kusikiliza kwenye gari lako ukiwa safarini?

    Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini. Nimeamua kuileta hii mada hapa jukwaani pengine tunaweza kupata majibu sahihi. Hii ni Superwoman ya Phina: Hii ni Superwoman ya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Muungurumo mbaya wa gari na kuibiwa masega

    Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea. Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika. Je, kuna namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…