Gari za kununua South Africa Zimetembea Kms sio poa!

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,079
8,690
Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
 
Kwa maana ya km nyingi ndio kuchakaa kwa injini, inawezekana!

Tofauti yao na sisi ni kuwa, li nchi lao ni likuuubwa na lina barabara za lami mpaka vichochoroni.

Ni kawaida sana kwao mtu kuishi umbali wa km 100 toka anapotafutia ridhiki yake, na mwendo wote huo hakanyagi mchanga wala jiwe popote pale!

Kumaliza km 1,200 kwa wiki ni kawaida, tofauti na yule anayeishi Tabata, shughuli zake Posta, kwa wiki anatembea km 30
 
Point
 
Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
Kwanza inakuaje uagize gari hapa hapa Afrika? Au ndio kitongaaaaaaa

Kama ndio kitonga basi inabidi uvumilie
 
Gari za SA vitu navyozingatia ni mwaka wa gari ni rahisi kupata gari SA miaka ya 2010 kuja mbele mpaka 2015 na hilo gari likiwa na historia nzuri ya Service bila kuruka na kwa bei ambayo inawezekana kulipwa...
Unaweza kununua gari SA kama ilikua na matunzo mazuri haufanyi kitu zaidi ya kuongeza maji na unafika nayo Dalsm...

Kama unajitaji gari nzuri nenda SA utapata gari nzuri kwa uchaguzi wako na kwa bei nzuri wengi wameenda na wamepata gari na yapo makampuni ambayo ukifika unapewa address zao unafanya nao biashara iliyonyooka...

Gari zao wanajali sana matunzo ya matengenezo kutoka kwa Mawakala wa hiyo kampuni ni mara chache sana ukanunua gari huku ikiwa mbovu na ipo yard...

Wao wana gari zao VW, Ford na Toyota zilizo kwenye fashion wananunua sana magari kwa kuangalia fashion kwa hiyo ukienda ukanunua gari iliyopitwa na fashion kwa SA kwetu bado ni mpya hiyo...
 
Okay Mkuu. vp Toyota Carina bei gan huko Sauz?
 
Ukienda kichwa kichwa unaweza ukauziwa gari ambalo hizo km zinafutwa yaani wanacheza kamchezo zinaonekana kama ngoma imetembea km chache kumbee ngoma imetembea km nyingi kinyama

Uziri unakuta body imenyooka sanaa hauwezi jua kama imetembea km nyingi, kama unahitaji gari uwe makini
 
Usidanganywe Wasauzi gari hawana ujanja wowote wafanye ili wauze gari zipo nyingi kama mchanga na hazina soko....unaweza kwenda mwaka mzima sehemu zingine utakuta gari zipo vile vile na zile zile SA mafundi wengi ni Wageni na ndio wanunuzi wa magari na kuyauza hapo hapo nani afikirie mambo ya kurudisha nyuma hizo Km wao wanazingatia sana Service na wanapouza gari hawatoi kitu kama ilikua na tairi za ziada mbili utapewa hata awe amenunua jana hawana Ujinga wa abadilishe ili akuuzie chakavu harafu auze Tairi peke yake....watu wanauza gari kwa kuwa ameichoka Bima au mawakala wanampa ingine kwa kuendelea kukatwa kwenye mshahara tena hatafu afikirie kufanya nini Wasauzi wengi wanachojua ni kubadili Tairi tu na kuweka maji kwenye Rejetor hata kucheki oil wengine wanapeleka gari Garage ndio anafundishwa huko huwa hawataki kuumiza kichwa...
 
Nitafutie gari ya kubebea mademu wa chuo. Wamenitesa Sana nikiwa Sina hela mmamae
 
Usemacho ni sahihi, wanaolalamika gari za south ni mbovu wengi wao walienda kununua kule kwa yard za wanaijeria- Walter Sisulu road….huko ndo kuna ujanja ujanja mwingi!
 
Back
Top Bottom