gari

  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala. Siku moja akanambie we nenda tu nikasema sawa sasa kuna...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Kwema! Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji. Imeisha hiyo
  3. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

    Habari wataalam, Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji. natanguliza shukrani zenu kwangu. Karibuni wataalam.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa wanawake ni gari, sitosahau gari yangu ya kwanza ilivyogeuka kuwa sumaku ya kuwatumia hadi kuwakinai, Gari! Gari! Gari!

    Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata kuwapata wazoefu wanaomiliki magari ya kawaida. Binafsi Nakumbuka takribani miaka 10 iliyopita nilipomaliza chuo nikiwa na 24...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya gari la miaka ya karibuni iko juu sana

    Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu. Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri? Nani anafanya hivi...
  6. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ma-anti wanavyonyanyasa watoto kwenye magari ya shule

    Huyu mdada maarufu kama wanavyowaita. Aunti nilishuhudia akimpa maneno makali bint mdg imeniuma sana ndio maana nimeileta hapa wahusika wafanyie Mimi mama edina sipendi kabisa hizi tabia.
  7. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars gari limewaka

    Mechi ya Morocco tulianza kushanga shangaa tu hatujielewi kama tuko Afcon, baada ya kupigwa Goli moja tukaamka na kutandaza boli kama Brazil tukawabana Morocco REFA akatukandamiza kama kawaida yao kuonea underdogs akamtoa Miroshi Novatus kwa red card na kukataa kuangalia VAR ili asibadili...
  8. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Haina maelezo mengi, angalia video
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

    Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki. ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written By Mjanja M1 ✍️
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gari za serikali Sasa nimekuwa zikiendeshwa na waliolewa?

    Hii gari ni ya serikali! Ni la idara Gani au wizara Gani?
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

    Sijawai kumiliki gari, nataman sana kumiliki ila kila nikijitahidi sifikii lengo. Nataka ninunue hata used ya 10M. Niliweka kibubu kikafika 2.5M ila ni mwezi wa nne huu kimebakia 1.2M. Nifanyeje na mimi nimiliki gari? Sitaki kukopa.
  12. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Tukifika kwenye number plate G nanunua gari, kwasasa sitaki tumia herufi yoyote ile

  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo. Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd. Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake . Video...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Dereva wa serikali usithubutu kumpa gari boss wako aendeshe

    Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari...
  15. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu. Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
  16. zachaja

    JamiiForums Tanzania Fahamu Aina za Kodi Zinazotozwa Pindi unapoingiza Gari Nchini

    Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini; 1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value) 2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
  17. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Epuka jambo hili kama gari yako imeibiwa masega(Catalytic converter)

    Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Aokota Gari kwenye Mafuriko Dar

    ANGALIA VIDEO HAPA Magari yamesombwa, nyumba zimesombwa, baadhi ya Watu wamebebwa juujuu kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es salaam na kusababisha maafuriko katika baadhi ya maeneo ikiwemo Tegeta na Kunduchi. Baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo wameomba Serikali...
  19. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Kubambikiwa fine ya gari ambayo huifahamu. Ajabu imetolewa mkoa ambao gari haijawahi kufika

    Kuna hili limetokea, gari dogo baada ya kusimamishwa na traffic likaoneka lina deni. Kuagalia vizuri fine(madeni) zote zimeandikiwa mkoa wa Dodoma ikiwa gari dogo halijawahi kufika Dodoma, lipo Morogoro. Makosa hayo ni kuzidisha abiria, maana yake ilitumika kukusanya maokoto. Wataalam naomba...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Madini gari hii Toyota Land cruiser STK 327 inatumika vibaya kuokota Rushwa na kuwanyanyasa wachimbaji wadogo Chunya

    Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini. Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo. Gari Hilo linafanya ukusanyaji wa rushwa usiku na mchana, siku za kazi na siku za sikukuu. Bosi wa Tume ya madini Chunya...
Back
Top Bottom