CHADEMA iliwahi kukisaliti chama gani cha siasa?

CHADEMA iliwahi kukisaliti chama gani cha siasa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,941
Reaction score
51,067
Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.

Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
 
Chadema waliisaliti CUF Uchaguzi wa 2015 Segerea

Hatujasahau 😂😂
Kwamba kilitokea nini? Tangu CUF ianzishwe mpaka sasa imekuwa kikundi cha wanywa kahawa pale Buguruni, ni wakati gani nje ya UKAWA ilipata wabunge wengi Tanganyika?
 
Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.

Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
Gentleman,
kwanini unakumbushia machungu ya usaliti wa chadema kwa LND, ACT, NCCR MAGEUZI n.k ?

hukumbuki hao ndio walikuaga wa mwanzo kabisaa kupinga, kuukataa na kuupuuza wito wa kiongozi mkuu mropokaji wa chadema alipohitaji vyama vya upinzani kuunganisha nguvu?

umejisahaulisha au umejisahau kweli?🐒
 
Wamewasaliti Watanganyika waliokuwa wanadai Bandari yao iliyogaiwa tena baada ya kusema kwenye vikao vyao vikubwa kwamba wataenda kuwapa "Ushorikiano"

kilichotokea ni Usaliti.
 
Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.

Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
Chadema waliisaliti CCM, CCM wakamkata Lowassa chadema wakamchukua na kumweka mgombea wao wa urais.
Huu ndo usaliti mkubwa sana wa chadema kwa CCM.
 
Back
Top Bottom