gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

    Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini. Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi...
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania Gari gani Dogo (SUV) inayofaa kwa biashara?

    Wakuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa! Naomba kujuzwa brand ipi ya gari dogo lenye muundo wa SUV ambalo linaweza kutumia kuingiza Mia mbili Mia tatu angalau maisha yaendelee? ( Maana ni aina ya biashara nayotamani kuifanya ) Pia naomba kujuzwa na kushauriwa juu ya business idea...
  3. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  4. mfereji maringo

    JamiiForums Tanzania Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

    Asalaam wadau wa kilimo! Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba? Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha, Naomba wajuzi...
  5. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania 1 Timotheo 2:12 una maana gani? Je kwa leo hii bado mstari huu una mashiko?

    Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia. 1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent." Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM mna matatizo gani kwa nini mnalazimisha watu wawe wanachama wenu kwa kisingizio cha daftari la wapiga kura

    Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa. Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari. Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
  7. magabelab

    JamiiForums Tanzania TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta. Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
  8. Strong25

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

    Habarini waungwana Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _ flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi wajuzi wahayo mambo msaada plz
  9. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Waliopaulia mabati ya Sunda, yanapauka baada ya muda gani? Hayavuji ?

    Mambo vipi maboss, natumai mko poa. Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30. Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake. Nataka...
  10. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

    Wakuu, Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda, Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia Sijaoa ila hali hii...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani tabata Pana ishu gani MPAka pajengwe mwendokasi

    Hakuna viwanda Hakuna taasisi Hakuna vyuo Hakuna chochote Hakuna ubalozi Hakuna cha maana Hakuna mall kubwa Hakuna stand kubwa Sasa iweje pajengwe mwendokasi hizo fedha si heri zikafanye ishi nyingine..ila Sina uhakika kama KWELI Kuna huo mpango wa mradi ila nilimsikia Mad Max akisema...
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Hii dua ya namna gani hapa Shekhe!?

    Kuna ile kauli: "MSICHANGANYE DINI NA SIASA" hapa naona haihusiki. Ndio kusema mzani umelalia upande mmoja? Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;
  13. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Polisi kulikua na umuhimu gani kutuambia Fr alikuwa anapata Kinywaji aliposhambuliwa?

    Salamu Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Picha hii inakupa somo gani?

  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kifaa hiki kina kazi gani kwenye gari?

    Hiki kioo kidogo upande wa mbele kushoto wa gari kina kazi gani kwenye wakuu?
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  18. Angelikaa

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufungua karibu na Mahakama??

    Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ila wenzetu Wakristo wamebarikiwa kwenye sekta ya viongozi

    BORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
  20. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?

    Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?
Back
Top Bottom