Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
467
Reaction score
1,048
Habarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu

Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _

flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi
wajuzi wahayo mambo msaada plz
 
Kuna hawa watu wanaitwa oraimo aisee nilinunua earpods zao ni ngumu balaa na mziki hatari, Flash zao ndio flash yangu ya kwanza kukaa 2.5 years, na Hair cutz machine zao, Hii kampuni ni noma aisee kuna mtu anatumia kitu chochote cha oraimo athibitishe?
 
ngoja nikazicheki_kuna flash nilinunuaga kariakoo 30k alafu ni GB 16 tu jamaa alinambia hutojuta kuinunua
niliinunua 2020 imekuja kupotea 2024 . yule jamaa alieniuzia kashafunga duka
. ile flash ilikua ya silver na haikua najina sijui naipata wapi kama ile😭😭😭
 
Habarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu

Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _

flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi
wajuzi wahayo mambo msaada plz
Kariakoo wacheki Discount Kubwa wanatazamana na Kituo cha Polisi cha Msimbazi - 0712202133

Ila kuna wakali wa hizi Kazi wapo Posta wanaitwa Lucky Digital ni WaYemen hao wacheki kwa 0763 042 553

Utapata Flash genuine
 
ahsante sana mkuu

Jaribu oraimo aisee flash yangu naazimisha sana ila iko imara vibaya mno
 
Habarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu

Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _

flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi
wajuzi wahayo mambo msaada plz
Odinga kaipitia hiyo
 
Kariakoo wacheki Discount Kubwa wanatazamana na Kituo cha Polisi cha Msimbazi - 0712202133

Ila kuna wakali wa hizi Kazi wapo Posta wanaitwa Lucky Digital ni WaYemen hao wacheki kwa 0763 042 553

Utapata Flash genuine
Discount kubwa bado wapo? Wasomali flan hivi nishanunua kompyuta kwao zaidi ya mara 5, wako vizuri
 
Habarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu

Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _

flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi
wajuzi wahayo mambo msaada plz
Kanunue flash acha mikwara wewe, ungekuwa unahitaji kitu cha thamani na maana ungeulizia hard disk.
 
Back
Top Bottom