mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,517
- 6,074
Wakuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa!
Naomba kujuzwa brand ipi ya gari dogo lenye muundo wa SUV ambalo linaweza kutumia kuingiza Mia mbili Mia tatu angalau maisha yaendelee?
( Maana ni aina ya biashara nayotamani kuifanya )
Pia naomba kujuzwa na kushauriwa juu ya business idea kulingana na gari ulilopendekeza.
Kwa Faida ya wote wana jamiii Africa
NATAKULIZA SHUKRANI SANA