Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba
Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba
Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa
Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa
M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa
Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina
Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa..
Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo,
ila nasikia...
Wakuu,
Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo;
1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai?
Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ?
Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Je, mchafu anachafuka tena? Hapana!
Je, mchafu anachafuliwa tena? Jibu pia ni hapana.
Kutoka jina jema kabisa la chama cha wanaolima na wanaofanya kazi, kuendea majina mengine kama
Chama cha walafi
Chama cha chukua chako mapema
Chama cha majambazi mpaka chama cha mauaji/wauaji... Kuna...
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu.
Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi?
Copy to:
secretarybird | Binti Sayuni03
To yeye | Joanah | dosho12
Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
Hi chit chat,
Mimi
Mtaani
1. Cheupe
2. Wa kishua
3. Mwanachuo
JF
1. Mwanaume
2. Kuna member miaka ileeee aliniPM kuniambia "kumbe wewe ni bigmind " akimaanisha mimi na hiyo ID ni mtu mmoja
Huwa wananishangaza kwasababu sio ya kweli lakini sikerekwi
Uzi tayari...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo.
Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo.
Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo.
(1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box
(2) Kadi nyekundu yenye utata na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.