gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi ukimuomba namba akawa anajishauri kukupa ina maana gani?

    Ee, nimempatia simu aandike namba yake, akaishia kushtuka shtuka tu, mara ang'ate vidole, mara aangalie chini kushoto. Nikamwambia acha kanjanja, chora namba kwa simu hapo. Mara ooh, mi siwezi, mara ooh huna nia nzuri na mimi, mara oh ya kazi gani Nikamwambia kama hutaki nipatie simu yangu...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtatukuta kule una maana gani Dr stergomena tax.

    Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa. Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

    Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine. Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix. Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k...
  5. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Hawa watu kwenye picha walioenda leo kujitambulisha kwa papa Leo 14 ni watu wa dini gani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua dini hizi ni dini za wapi? Mbona mpya machoni pangu Leo watu wa hizi dini walienda pamoja na viongozi wao kujitambulisha kwa papa Leo
  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto. Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto? Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vilikufanya ubadilishe mtazamo wako juu ya kitu ama jambo fulani..?

    Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili mtazamo juu ya kitu fulani..? Binafsi ni kazi. Nina hulka ya introvert, ila kazi niifanyayo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania JOH mREMA KAPATA CHEO/NAFASI GANI CHAUMA?

    MWEYE TAARIFA ATUJUZE PLEASE
  12. Lenin23

    JamiiForums Tanzania UDSM Best Student: Je, ni GPA gani inatumika kumpata Best Student, Commulative au Aggregate GPA?

    Habari za wakati huu, Ninapenda kujuzwa kuhusiana na ili suala . Nimeona cheti cha best student mmoja katika college fulani ya UDSM ana aggreagate GPA of 4.3 meaning First year 4.0, second year 4.5 and third year 4.6 aggregateya zote tatu ni 4.3 lakini commulative GPA yake kwenye cheti inasoma...
  13. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?

    Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni timu gani ilipindua meza baada ya mechi ya kwanza kufungwa bila hata on target?

    Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa Timu limepigwa goli 2 bila kelele Ball possession RS Berkane iliongoza 78% Simba walicheza kama wapo pungufu Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hard Disk Terabyte 4 bei gani? naomba kujifunza

    naomba kujua bei ya had disk telabite 4 wakuu, samahani kwa usumbufu asubui hii na vip risk ya kununua hizi disk ubovu sijui expire time
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

    Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
  17. R

    JamiiForums Tanzania Katika kujitafuta uliwahi kufulia hadi kukosa jero ya chapati ? haya ni mafunzo niliyowahi kuyapata na jinsi nilivyojipata upya

    Kuna watu wanaweza kuyaona maisha haya ni sinema ila kuna wengi huyapitia. Kwenye kujitafuta safari huwa ina mabonde na makorongo, kuna muda hadi mtaji unaisha ama umeibiwa unarudi zero kabisa. Kwenye hustle zangu niliwahi kupatwa na hii hali, yaani nilikuwa mtupu kujumlisha na madeni...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?

    Wakuu Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe. Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?
  19. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

    Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie, Wiki...
  20. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya funzo adhabu na laana?.

    Kuna wakati kwenye maisha Mtu unakutana na mitihani mpaka unajaribu kujiuliza kama hiyo ni adhabu ya makosa uliyowahi kufanya, au ni funzo tu unapitia baada ya kutoka kwenye mstari au la ni laana ya Mtu au Watu uliowakosea kwenye harakati zako za maisha. Sasa mtihani unabaki namna ya kutambua...
Back
Top Bottom