Kabila gani linachakaa haraka hapa Tanzania ??

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,180
Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa..

Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo,

ila nasikia kuna makabila yanazeeka na sura zao hata ukikuta kizee bado kinavutia .
 
Hamna kabila ni binadam wote. Kuchakaa kwa mtu uzeeni itategemea na matunzo, haina kabila
 
Kama hutaki azeeke haraka, Oa Kamwanamke kafupi afu kapotabo...

Utanishukuru baadaye..
 
Isue sio kabila ni mtindo wenu wa chakula kwenye msosi wenu msisahau matunda na mboga za majani utanishukuru baadae
 
Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa..

Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo,

ila nasikia kuna makabila yanazeeka na sura zao hata ukikuta kizee bado kinavutia .
Nakushauri usioe maana hata hujui maana na malengo ya ndoa ikiwa issue yako kuu ni uzuri wa uzeeni.
 
Back
Top Bottom