watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,659
Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine.
Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix.
Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k.
Introvert anaeza kuwa na subwoofer ndani ila anatumia ear phones
Introverts hupenda sana kujifunza kitu flani bila kuchoka au kufikiria sana jambo flani (wagunduzi na watundu wengi wa compuyers ni intorverts)