Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,407
Reaction score
12,730
Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
20250518_192658.jpg
20250518_192706.jpg
 
Zachary Naye ELIMINATED
Kwakifupi Anahusika Na Harakati Za Hamas Mwanzo~Mwisho
Nipe taarifa mkuu ana husika vipi ? Huyu bwana alikuwa Hamas ? Kitengo gani ?
 
Zakaria Sinwar, brother of Yahya Sinwar former leader of Hamas; brother of Mohamad Sinwar another leader of Hamas. Unauliza vitu gani wewe? That's one family.
Sijajua Kitengo Anachotaka Yeye
Mfano Rahisi Ukiambiwa Huyu Ni Askari Wa JW,Police, Moja Kwa Moja Unajua Kazi Zao
 
Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuniView attachment 3338351View attachment 3338352
Kwanza ustadhi Bado hajafa yuko hai lakini ana Hali mbaya baada ya kulipuliwa akiwa pamoja na familia yake tumuombee afya, na yeye si miongoni mwa hamasi alikua na maisha yake hajawahi kuhusika na misheni yoyote alikua na maisha yake ya uhadhiri amedhulumiwa pamoja na familia yake.

Usiulize kuhusu Zacharia uliza kuhusu watoto wadogo ambao wameapiwa kuuawa na myahudi
 
Anataka athibitishiwe Zakaria alikuwa muandaa kachumbari Hamas HQ! Ameshaambiwa na anafahamu Zakaria ni family ya kigaidi sijui anataka nini zaidi!
 
huenda alikua kitengo maalumu cha dini akiwa mtu muhimu kushawishi wapambanaji wa Hamas kwa mawaidha kwenye ibada kutokukata tamaa wala kurudi nyuma kwenye hiyo Jihad kwani ikitokea kuuawa, moja kwa moja unaenda akhera.

huenda hilo ndilo haswa lilikua jukumu lake muhimu 🐒
 
Zakaria Sinwar, brother of Yahya Sinwar former leader of Hamas; brother of Mohamad Sinwar another leader of Hamas. Unauliza vitu gani wewe? That's one family.
Kwa hiyo kuwa na undugu na Yahya na Mohamad ana stahili mauaji ? Mkuu umeshindwa kunijibu kuhusu ushiriki wake ndani ya Hamas ila umeleta utetezi wa ajabu wa undugu hii inashangaza.

Yeye kuwa katika familia moja na Yahya na Mohamad ana husika vipi na Hamas ?
 
huenda alikua kitengo maalumu cha dini akiwa mtu muhimu kushawishi wapambanaji wa Hamas kwa mawaidha kwenye ibada kutokukata tamaa wala kurudi nyuma kwenye hiyo Jihad kwani ikitokea kuuawa, moja kwa moja unaenda akhera.

huenda hilo ndilo haswa lilikua jukumu lake muhimu 🐒
Asipokuelewa atakuwa mpumbavu aliyekubuhu!
 
Mkuu nahitaji facts ndio msingi wa huu uzi na sio assumptions zisizo na kichwa wala miguu kumuhusu Zakaria na Hamas
 
Asipokuelewa atakuwa mpumbavu aliyekubuhu!
Assumptions sisizo na kichwa na miguu hazina maana mkuu kwa nafasi yako maswali yangu yote niliyo kuuliza huja jibua hata moja unazunguka zunguka tu.
 
huenda alikua kitengo maalumu cha dini akiwa mtu muhimu kushawishi wapambanaji wa Hamas kwa mawaidha kwenye ibada kutokukata tamaa wala kurudi nyuma kwenye hiyo Jihad kwani ikitokea kuuawa, moja kwa moja unaenda akhera.

huenda hilo ndilo haswa lilikua jukumu lake muhimu 🐒
Huenda
 
Kwanza ustadhi Bado hajafa yuko hai lakini ana Hali mbaya baada ya kulipuliwa akiwa pamoja na familia yake tumuombee afya, na yeye si miongoni mwa hamasi alikua na maisha yake hajawahi kuhusika na misheni yoyote alikua na maisha yake ya uhadhiri amedhulumiwa pamoja na familia yake.

Usiulize kuhusu Zacharia uliza kuhusu watoto wadogo ambao wameapiwa kuuawa na myahudi
Inasikitisha dunia tambala bovu sote tunapita, sote tutakufa.
 
Anataka athibitishiwe Zakaria alikuwa muandaa kachumbari Hamas HQ! Ameshaambiwa na anafahamu Zakaria ni family ya kigaidi sijui anataka nini zaidi!
Hivyo familia za polisi wote Tanzania na koo zao zote zinapaswa kuangamizwa ?
 
Back
Top Bottom