gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani utumishi wa Mbunge hupimwa?

    Dhana ya utumishi wa Uma inaanzia pale mtu anapewa dhamana kusimamia Jambo kwa masilahi mapana ya jamii au wananchi kwa ujumla wake. Dhamana hii huundiwa taratibu na kanuni kwa misingi ya kurahisisha na kusimamia utendaji wa mtumishi kwa ukaribu zaidi. Mheshimiwa mbunge ni mwajiriwa wa wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, tendo la ndoa linafaa wakati gani?

    Salaam wana jukwaa. Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama Waafrika au Watanzania zinasemaje? Haya mambo ya kutikisa kabla ya kutumia huko mbeleni kutakuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

    Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita? Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni Apps zipi za Mitandao ya Kijamii unamiliki kwenye simu yako na na kwanini?

    Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya GDP na budget ya serikali?

    Naomba msaada wajameni maana huwa siwezi kuvitofautisha kabisa.
  7. JamiiForums Tanzania House girl kanifichia siri, sijui nimpe zawadi gani?

    Kwema wakubwa? Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani. Nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego. Leo karudi asubuhi...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ni mnyama gani?

  9. JamiiForums Tanzania Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

    Habari wakuu. Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

    Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na...
  11. JamiiForums Tanzania Kitabu gani umeshakisoma Cha wainjilist Hawa Billy Graham na Rehnard Bonke

    Mimi Sasa najisomea hiki Ila nimesoma zaidi 12 vya Hawa wainjilist
  12. JamiiForums Tanzania Sheria au Sera gani inayotuongoza katika kufungua uchumi kwa hisani ya wawekezaji?

    Salamu! Ni vyema tunaposema kuwa tunaenda kufungua uchumi kwa kualika wawekezaji wa nje tuwe na sera mahsusi na sheria dhibiti zinazotuongoza katika utekekezaji. Iwapo Sera na Sheria zetu ni duni katika hili tutegemee kuanguaka kiuchumi. Je, Sheria au Sera ya kufungua uchumi kwa hisani ya...
  13. JamiiForums Tanzania Helo am new here,

    Helo am new here, naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara, asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    ANGALIZO Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
  15. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani?

    Je, ungepata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani. Toa maoni yako, hapa. Maoni yako ni muhimu.
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

    Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu; - Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari) - Mimi ni mkimya (yaani sipendi kuongea na pia sipendi mtu aniongeleshe kwa muda mrefu nachukia sana yaani natak nikiwa na wewe...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Kitu gani kimeufunika ghafla ule 'Mvumo' wa Hasira za Watanzania wa Mitandaoni kwa Ole Sabaya na Paul Makonda?

    Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda. Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii )...
  18. JamiiForums Tanzania Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

    Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo gani yanatakiwa ili watu, kikundi nk, kiwe ba ushirikiano mzuri/wenye ufanisi?

    Habari wandugu. Naomba kuuliza ni vitu gani au sifa gani zinatakiwa kuwepo ili watu muweze kushirikiana vizuri? Inaweza kuwa ushirikiano ndani ya kikundi, mtu mmoja na mwingine , kikundi na kikundi nk. Inaonekana ushirikiano huleta mafanikio kirahisi na hata kiasili, binadamu ni social animal...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…