gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni adhabu Gani uliyowahi kupewa ukiwa shuleni mpaka ukatamani upigwe yaishe

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe 1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja tulichelewa kufika Basi siku hiyo ilikuwa zamu ya mwalimu mmoja hivi Yule mwalimu akatuambia Mimi sitoweza...
  2. JamiiForums Tanzania Basi ya Kampuni Gani Lipo Vizuri Dar es Salaam to Musoma Kupitia Kiabakari?

    Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
  3. JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulivyojua kuwa kirefu cha MOM ni My Own Mother

    Nasoma comment na kama ndio umejua leo basi comment ''JF shule''
  4. JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastiki (Rambo) inarudi Kwa Kasi sana; hii Ina maana Gani?

    Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na mifuko mingine ikaitwa ya magufuli na hapa kati kukashamiri mifuko mingine mingine tuliyozoeaga...
  5. JamiiForums Tanzania Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
  6. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  7. JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  8. JamiiForums Tanzania Chakula gani unatamani mtoto wako akipende lakini hakipendi?

    Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
  9. JamiiForums Tanzania Kijiji gani kipo usawa huu?

    Ukifika mjini/mkoani nauli ya kwenda huko ni eldu 20 au 30 mkoa huo hio wapi huko pako hivyo kuna kitu nataka nikaangalie
  10. JamiiForums Tanzania Beer ina madhara gani??

    Andika hapo kwenye comment
  11. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  12. JamiiForums Tanzania Ni online platforms gani zinaweza kutusaidia kupata wawekezaji kutoka nje ?

    Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
  13. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?

    Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  15. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

    Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
  16. Q

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Mbona vipepeo wameadimika sana siku hizi? nitumie njia gani kuwavutia au kuwafugia shambani?

    Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse. Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
  19. JamiiForums Tanzania Noah Voxy zina uimara kiasi gani?

    Vp salama wakuu. Kuna mtu flan anataka kuniuzia Voxy 2006 kwa 7mil, Me siyo mtaalam sana wa magari,so naomba wenye uelewa wanipe elimu kidogo kuhusu Voxy. Matumizi yangu ni kubeba abiria na njia ni rough road na mahali pengine ni lami. Sasa naomba kufahamu uimara wa hii gari na changamoto zake.
  20. I

    JamiiForums Tanzania Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…