Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa.
hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?
Hii inahusu zaidi chama...
Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike
Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa?
Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k
Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu.
Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi.
Ila...
MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani.
Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29.
Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali...
Kama mnavyojua /ona makaburi mtu akizikwa yanakuwa yameelekezewa upande mmoja kama ni kusini kusini mashariki mashari je!kwa mfano makaburi sasa yameelekea mashariki ki marehemu wangu nikageuzia kaburi lake kusini je!kuna madhara gani?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
dkt. emmanuel nchimbi
dkt. nchimbi
emmanuel nchimbi
gani
jamhuri ya muungano
jumuiya
kabila
makamu wa rais
maziwa makuu
museveni
nchi
nchimbi
rais wa jamhuri
wewe
yoweri
yoweri museveni
Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara
Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
Lazima tuulizane maswali yenye mantiki hapa. Tulienda shule ili tupate ufahamu tusibaki kule au kuwa walewale wa zamani au kama babu zetu wa enzi zile.
Usomapo Biblia hasa kuhusu uzuri wa mbinguni/Peponi au paradiso unakuta panaelezwa kuwa ni pazuri sana na hakuna mfano wa kupafananisha...
Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi.
Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
habari zenu jamii forums
ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu
Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ".
Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics.
Katika research ambayo nimefanya huko YouTube, wanasa ni lazima nizijue zofuatazo.
1. Sql
2. Advanced excel ikiwemo "pivot table and Vlookup...
Habari za muda huu Wana JF , Mimi ni mgeni humu Nina mpango wa kusoma short course za ubaharia pale DMI chuo Cha bahari , changamoto yangu nawaza baada ya mafunzo seatime nitapewa na chuo au nitatafuta mwenyewe?. Mwenye ujuzi anisaidie .
Kukosekana kwa Ufuatiliaji Madhubuti*
Maafisa kazi wengi hawatembelei maeneo ya kazi kwa ukaguzi wa mara kwa mara, hali inayowapa waajiri mwanya wa kuendelea kukiuka haki za wafanyakazi.
Ukimya wa Maafisa Kazi Wakati wa Migogoro*
Kumekuwa na kesi nyingi ambapo wafanyakazi wanatendewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.