Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,586
- 9,818
Alianza kwa kasi kubwa na kupata wafuasi wengi na maoni ya wengi yalikuwa chanya. Nini kimefanya awe kimya ghafla? Je ni maboss wa mainstream wameamua kudeal naye kupitia TCRA na TRA kwa kisingizio cha kutojisajili au anajipanga kwa kitu bora zaidi?
Mimi Ponjoro wa Kinondoni ni CCM ila sina roho mbaya naomba hao wakwamishaji wasitumie mbinu hiyo, waongeze ubunifu ili nawao wapate fans kama Dudubaya.
Mwisho naungana na mama sa100 october tunatiki lakini atambue kuwa NO REFIRMS NO ELECTION.