gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Viti Maalum na wale wa kuteuliwa na Rais wana faida gani katika Taifa?

    Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali. Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi siku Hizi Jinsia gani wana Aibu!!

    Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
  3. JamiiForums Tanzania Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je,ni mtandao gani wa wa kijamii wazawa huko Rwanda ambao tunaweza kuuita JF ya Rwanda

    wakuu tumekuwa tukisikia sifa za wanyarwanda kuwa wako juu sana kwenye hizi issue za tech lakini cha kushangaza mbona hakuna mtandao hata mmoja wa kijamii uliotengenezwa na mnyarwanda ambao tunaweza kuulinganisha na hii JF ya Melo afadhali wakenya wao wana kenyatàlk nk ambao kiuhalisia ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

    Asalaam wanajamii wenzangu! Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani! Nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
  9. JamiiForums Tanzania Una nyoa baada ya muda gani?

    Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa. Huwa una shave shamba la kufugia nywele/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani? Ni wiki, wiki 2, mwezi au mwaka? Binafs kwangu kunyoa naonaga karaha sana. Ukiona nimeenda saluni ujue masikio tayar yashafunikwa na nywele...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  11. JamiiForums Tanzania Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  12. JamiiForums Tanzania 2025 CCM watakuja na manifesto gani tutakayoiamini kama manifesto za miaka 60 hazijatekelezwa?

    Uchumi wa wananchi mmoja mmoja ni mgumu sana, vijana wanashinda vijiweni kwasababu hawana kazi. Wengi hujiingiza katika ulevi , kucheza kamari na kuvuta bange kutokana na kukosa kitu cha kufanya. Serikali imeweka tozo kila mahali, hawa hawa wasio na kipato maalum bado wanakamuliwa ili...
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

    Naomba twenda direct kwenye point. Ningependa kufahamu aina ya madini yanayo tunika katika vifaa vya electronic hasa saket za simu, tv,remote control, computers...nk. 👇👇👇
  15. A

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kina mchango gani katika kusaidia kupunguza ajali nchini?

    Nimeangalia hali ya usalama wa abiria katika vyombo usafiri wa umma kwa maana mabasi na wale ambao tunatumia vyombo binafsi na wadau wengine wanaotumia barabara nchini, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la ajali katika kipindi hiki kifupi cha Januari hadi March hii 2022. Ukiangalia vyanzo vya...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

    Hellow wakuu, Hili ni swali muhimu sana kwa watu wenye mipamgo mirefu, pia linanufaisha kiuchumi kwa mtu mjanja. Mfano mwaka 2007 wilaya ya KAHAMA ilikuwa ni wilaya ya kawaida sana maeneo mengi ya pembeni ilikuwa ni vichaka leo hii miaka 15 imepita hakuna tena vichaka ni majumba tu wajanja...
  17. JamiiForums Tanzania Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana...
  18. JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

    Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa fally Ipupa "Eloko oyo" una maana gani?

    Mwenye kujua maana ya Huu wimbo aniambie naupenda Sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…