gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu waislamu Eid El Fitr itakuwa siku gani?

    Naombeni mnijuze maana hapa kuna mkanganyiko! Uzi tayari
  2. JamiiForums Tanzania Sharti gani ushakutana nalo pindi umeenda kuangalia TV kwa jirani miaka hiyo ukiachana na mkae chini

    Hii kwa waenga tu enzi hizo miaka hiyo TV zipo chache unakuta mtaa mzima ipo moja au hakuna kabisa na hapo mnaangalia ni mikanda tu na wenye nyumba wakali maana watoto kwa kuchafua nyumba na miguu michafu basi mnasema kesho usiwafungulie hahahaaha
  3. JamiiForums Tanzania Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Kuna msemo usemao dalili ya mawingu ni mvua. Sasa hebu tuambiane ukweli, pale unapogundua kuna dalili za kuachwa mpenzi wako au kuchokwa -- huwa unachukua hatua gani?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Rasta zina uhusiano gani na utalii

    Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana...
  5. JamiiForums Tanzania Haya maneno yana ukweli kiasi gani?

    Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Wewe umetoa msaada gani?

    Salamu kwako. "wema hauozi" na kizuri kinajiuza ila kibaya kinaendelea kujitembeza ni takribani miaka 16 kuna faida nyingi na hasara chache zilizopatikana kwenye tovuti yetu pendwa ya jamiiforums kwa makusudio ya uzi nitaorodhesha faida kadhaa nilizopata kwenye blogu hii na jambo gani...
  9. JamiiForums Tanzania Una kitu gani cha kuipa Dunia ikupe utakacho?

    UNA KITU GANI CHA PEKEE? Swali hili ni muhimu kujiuliza na kujijibu mwenyewe hata kama likikukera ikiwa tu unahitaji kuitambua thamani yako au kuiweka katika hadhi yake sawasawa na vigezo vyako. Acha kuendelea kutamani jaribu sasa kujiuliza wewe una kipi cha kukufanya upate uyatakayo. Kwa nini...
  10. JamiiForums Tanzania Steven Mangele (maarufu Steven Nyerere) kuna uhusiano gani wa bongo movie na CCM?

    Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha! Moja kwa moja niende kwenye hoja! wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu! Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi msg za mitandao sijui offer gani mara sijui bet ganj kina mo GSM kina SSB wanatumiwa kweli

    Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au...
  12. JamiiForums Tanzania SURA MBILI ZA ZITTO KABWE, Je wewe unamwongelea katika upande gani?

  13. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Nchi huko USA imetugharimu walipa kodi kiasi gani?

    Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500. Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika? Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
  14. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki tano (500k) napata TV ya aina gani?

    Habari ya majukumu ndugu zangu, nmejikusanya kidogo kidogo nkafanikiwa kupata laki tano kwa ajili ya tv.. Nahitaji tv imara na nzuri, je naweza kupata kampuni gani na ni inch ngap? Ukiweza kunambia strength na weakness ya tv utakayonishauri ntashukuru zaidi. Asante
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Mzawa mwenye Akili Tanzania nzima Mecky Mexime Kaichambua Simba SC vizuri hivi Wewe ni Kibushuti gani umpinge?

    "Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba SC ina Wachezaji wakubwa, wazuri, wanaofika na wanaweza Kukimbizana. "Nimewaona Orlando Pirates FC...
  16. JamiiForums Tanzania Vita gani Haji Manara anaihubiri hapa?

    Hapa ndipo utakapoona kuwa watu wa aina ya huyu Manara ni hatari sana katika ustawi wa soka nchini,wanaturudisha nyuma sana hawa.
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

    Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Matumizi ya M- Kwenye Auto - Manual Cars. Wengi wanashindwa kufahamu watumie nini na wakati gani?

    Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani huwa zinatumiwa na viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kuomba hata msibani

    kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuuliwa kinyama na baba yangu mzazi

    Nakumbuka mwaka 2001 enzi hizo bado niko shule ya msingi katika mji mmoja hapa Tanzania baba yangu ambae alikuwa ni mfanyabiashara wa toka enzi za Nyerere na aliyekuwa kwa kipindi hicho akiitwa tajiri alitembelewa na mganga mmoja wa kienyeji kutoka mahali pasipojulikana Alimpokea na kumchukulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…