Ziara ya Mkuu wa Nchi huko USA imetugharimu walipa kodi kiasi gani?

Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.

Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?

Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
 
Kwani Mkuu wa nchi si ana makamu wake? Kwani ni lazima awepo nchini muda wote?
 
Acheni wivu
"You on vacation, we gettin' paid, so
We on paycation" 😆
 
Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
Mkuu mayalla kwani Rais ni Mungu kwamba haturuhusiwi kuhoji pale ambapo tunaona pana utata? OK yawezekana watanzania huwaonei huruma,
Pascal mayalla ikiwa unaweza kuihudumia familia yako please jishughulishe na shughuli za kijamii....heshima ni nzuri kuliko fedheha ya kisiasa.
 
Ndiyo maana hataki kwenda kuongoza Zanzibar kwao anapiga pesa za bure huku bara kwa wajinga
Kwani Serikali ya JMT ni kuongozwa na Watanganyika tu? Kwamba Mzanzibar hana haki ya kuwa Rais wa JMT?

Hizi ni akili za wapi? Na huwa mnaandika haya bila kuona haya.

Wazanzibar popote mlipo, Mungu amewapa fursa ya pekee kurekebisha kero za muungano, huu wa Urais wa JMT ni wenu mpaka 2030, mtumieni mama vizuri na Hussein Mwinyi kukomesha dhulma za Watanganyika dhidi ya Wazanzibar.

Mama Samia asiuvae uccm wake anapaswa kuuvaa Uzanzibar kukomesha hila za Watanganyika kuwadharau washirika wa muungano Wazanzibar na kuwaona kama wasio na haki ya kupata nyadhifa kwenye serikali ya JMT.

Huu ndio muda sahihi wa kuwanyoosha Watanganyika ili wafahamu vyema huu ni muungano wa nchi mbili huru zenye haki sawa kwenye Muungano.
 
Kwani hizo pesa zinatoka wapi kama sio kwa walipa kodi au rais ana shamba lake linalomzalishia hela za matumizi?

Umejibu kirahisi rahisi sana kama rais wenu.
Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
 
Huyu pascal Mayalla ni empty kichwani
Mkuu mayalla kwani Rais ni Mungu kwamba haturuhusiwi kuhoji pale ambapo tunaona pana utata? OK yawezekana watanzania huwaonei huruma,
Pascal mayalla ikiwa unaweza kuihudumia familia yako please jishughulishe na shughuli za kijamii....heshima ni nzuri kuliko fedheha ya kisiasa.
 
Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.

Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?

Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
Sijawahi kufikria Rais wa Nchi Kukaa Nje ya Nchi Yake Siku 10 Mpaka Sasa.
.
Hii ni Kali Aiseeeh, walioandaa Hii Ziara Hawakufkria Vyema.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom