Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
2,331
4,166
Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
Screenshot_20220805-223037.jpg
Screenshot_20220805-222617.jpg
 

raraa reree

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,122
3,748
NELLY alikuwa komesha ya mabishoo dunia nzima . Jamaa ukisikiliza nyimbo zake ndio utajua hata bongo freva ni jina tu lakini asili ya uimbaji imetokea kwa huyu fala . miaka ya 2000 ilikuwa huwezi kuwa bisho bila kumtambua Nelly.
Huyu jamaa kile kiplasta chake pale shavuni ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ mabishoo wa bongo walijua ni style kumbe jamaa alikua anaficha kovu ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ mbele unyamwezi mwingi saaaanaaa ๐Ÿป
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

10 Reactions
Reply
Top Bottom