gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

    Hello wakuu, Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda boarding school, na mtaani kwetu ilikua ukifaulia mbali kidogo au boarding unaonekana noma,sasa...
  2. Mapenzi ya nini?

    Mapenzi ya miaka hii ni full stress, unakuta umemtongoza binti amekukubali vizuri, ila kutoa mbususu hataki, ukimwambia nikuoe hataki, basi tuachane napo hataki sijui huwa wanataka nini?
  3. Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  4. K

    Hivi hii kozi ya Social protection inayotolewa na IFM ilianzishwa kwa madhumuni gani?

    Hii kozi wahitimu wake wengi naona wanaishia kufanya kazi za sales kwenye makampuni ya kichina na kulipwa ujira kidogo sana. Hivi IFM waliianzisha kwa madhumuni gani haswa?
  5. J

    CCM wanawacheza mchezo gani haswa? Maana hata iweje hawana nia na Katiba Mpya kabisa

    Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali Sasa CCM ambao...
  6. Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

    Kwa wale tulioomba kazi za Auditor II huko utumishi waajiri wakiwa Ministries, departments local government na CAG. Tunaomba wale waliowahi kufanya written and oral interviews za kada za auditor ii huko utumishi mtupe uzoefu wenu wa maswali mliyowahi kuulizwa ili nasi tuzidi kujinoa ipasavyo...
  7. K

    Hayati Mobutu wa Zaire alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?

    Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi? Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
  8. Wazoefu wa Instagram na Facebook. Ni bidhaa gani zinauzika kwa haraka kwa anaefanya kama winga?

    Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote? Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
  9. Je, huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

    Habari ndugu zangu. Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa. Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa kama kidonda. Kinapona baada ya muda kinarudi.
  10. Ni Style gani bila kuifanya wakati wa tendo unahisi halijakamilika?

    Habari za Jioni wadau, JF never bored. Nimekaa nipo upweke upweke baada ya kutoka job nikaona niingiee humu nishee swali la kipuuzii lakini linamhusu kila mmoja wetu humu 18+ Kwa maana ya tendo la kujamiiana nalo lina nafasi kubwa katika maisha sababu kila mtu anaishi kwa hisia na hakuna kati...
  11. Mishahara ya Ngorongoro Conservation Area huwa ni kiasi gani?

    Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area? Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5. Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu. Asanteni sana🙏🏾
  12. Hapa Dar ni maduka gani yanauza office shoes original?

    Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+. Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na...
  13. Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  14. Utakaa mkao gani hapa ukiwa ofisini kwa bosi wako?

    umeshinda bonus ya billion 5 ,, siku unaenda ofisini kwa bosi wako kupeleka barua ya kuacha kazi utakaa mkao gani hapo? mimi namba 3 😂😂😂😂😂 karibuni wadau tuwaoneshe mabosi wetu ambavo tumechoshwa.na utumwa.
  15. Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Uchawi upo ndugu zangu. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga. Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona. Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
  16. F

    Hivi Wabunge wetu hawa hutumia muda gani kutafakari mambo, muda wote ni makofi na kuimba tu

    Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani. Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest issues). Sisi wabunge wetu hapo ni kupiga meza (makofi),kucheka na hata kuimba muda wote! Do we...
  17. S

    Je, huu ulozi au kitu gani? Naomba ushauri wenu

    Habari wana JF wote, Nyumbani kwangu huwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiyemfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani. Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya...
  18. M

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
  19. Nasikia vibuyu vinaliwa, ni kweli?

    Na ni fursa gani zingine za kichumi zinatokana na vibuyu? Wapi Tz vinalimwa sana?
  20. Nitumie njia gani Kuongeza Uboho (bone marrow)?

    Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho. Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa uboho, ningependa kufahamu vyakula vya kuuongeza ili ni balance mambo. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…