Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo unajulikana kwa wale wasomaji wa vitabu vya kingereza.
Mwalimu Nyerere alikuwa na Hayati Rashid...
Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani.
Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi...
Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
New update . . . . 25.12.2022
Merry Christmas and Happy New Year 2023.
Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace?
.
.
CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani mwanasheria.
Maneno haya yamepimwa, yamefanyiwa uchunguzi wa kina, nami nitayawasilisha kwa kadiri niwezavyo yasipungue, kwani hii ndiyo hesabu yake.
Kwa maana kila jambo lina njia na nafasi yake. Na kila njia na nafasi inawakati wake. Na kila kimoja kina...
Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland.
Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania?
Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
Habari zenu wakuu,
Aya, mara mojamoja sio mbaya
....tangu uzaliwe, uliwahi kutengeneza /kubuni nini cha kwako mwenyewe?
(kwa kutumia elimu ya darasani au akili ya kuzaliwa)
wazee wa zamani hawakuwa na elimu kama tunayoipata sisi, masuala haya ya teknolojia ni mambo ya kisasa wala...
Habari za mchana
Naenda direct kwenye mada
Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika na mala yako ya kwaza kuzika hilikuwaje
Mimi nilikuwa najua mtu akizikwa basi anakutokea usiku unapolala
Nakumbuka mara yangu ya kwaza kwenda kuzika nilikuwa darasa la tano mwezetu alifiwa na baba yake kwaiyo...
Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update.
Nachotaka kujua,
Process ya updating inatumia GB ngapi?
Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public?
Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
Siwachoshi!
Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini!
Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya safari ngapi za kwenda na kurudi hata kabla ya JPM kuwepo?
Tutaaminije kama siyo mikono michafu ya...
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia!
Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika...
Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima.
Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua:
Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
Muda hausimami, muda ukifika wa ku hit the road inakubidi uondoke nyumbani kwenu nawe uanze kujitafutia.
Wapo wanaohama wakiwa na mishe ila wapo pia ambao ni kuhama na kuyajua mbele kwa mbele
Binafsi nakumbuka nilipomaliza form 4, nilikaa kitaa nikiwa nasubiri matokeo bila shughuli yoyote...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF
Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda maabara baada ya kufika kule nikapewa chupa cha kuhifadhia mkojo
Cha ajabu
Baada ya kurudisha sampuli...
Kwema wakurungwa? Weekend ndo hii mambo yawe mengi kidogo.
Nizame kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Nataka niwaulize wasafi FM huu utaratibu wa kucheza matangazo katikati ya mazungumzo mmeutoa wapi? Yaani unakuta mtangazaji anaongea au labda mgeni kaletwa kwenye kipindi kwa...
Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa?
Ubepari?
Market socialism?
Ubepari ukiwa na Soko Huria?
Soko Huria?
Command Economy?
Unknown (Yaani Made in Tanzania)
Au...
Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa mimba (kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea?
Ninaombeni elimu juu ya hili wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.