gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ukuta huu uliopo Kikuyu Dodoma ni wa taasisi gani?

    Wakuu, huu ukuta upo Kikuyu Dodoma, Ni wa taasisi gani?
  2. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  3. I

    JamiiForums Tanzania "Myamwezi" ni mtu wa namna gani?

    Huko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi" Hivi wana maana gani?
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Hili tundu kwenye kufuli lina kazi gani?

  5. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waje na ajenda gani kwenye mkutano wao wa kwanza baada ya kutoka kifungoni?

    Kama ilivyosemwa kwamba chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani hapa nchini kitaanza mikutano yake ya hadhara hivi karibuni, kutokana na hali ya mambo ilivyo Kwa sasa na mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyotokea baina ya utawala wa kikwete magufuli na hatimae Samia, ni hoja zipi unadhani zitaleta...
  6. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia hii una tofauti gani na Ibilisi?

    Tabia iliyomponza Ibilisi ni KIBURI. Baada ya kuambiwa na Mwenyezi Mungu amsujudie Adam sijida ya heshima basi yeye alikataa Kwa kujawa na Kiburi kwasababu yeye alijiona Bora sana. Na alipoambiwa kwanini ulikataa kumsujudia Adam akasema; Mimi ni Bora nimeumbwa Kwa Moto na yeye ameumbwa na...
  7. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  8. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

    Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani kuhusu watoto wanaofuatana kuzaliwa kupenda kugombana?

    Daaaah nakumbuka wakati nipo mdogo nilikuwa nazichapa haswa na mdogo wangu, ila nilokuwa ni kama napigana kwa tahadhari situmii nguvu zote. Yaani dogo aliniona mie kama boya tu, saa ikafika siku nikaamua kutumia full force yani nilimshushia mzigo wenyewe bila kujivunga ndio heshima ikawepo...
  10. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa. Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani NIDA?

    Naomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani. Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha? Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

    Eti wakuu. Shanga huundwa na materials gani? Maana plastic si plastic.
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  16. DEICHMANN

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kuanzisha forum kama jamiiforums,nairaland au red it.

    Habari. Ni hatua gani za kufuata kuanzisha forums. Kama Jamiiforums Nairaland Au Red it.
  17. Execute

    JamiiForums Tanzania Digrii, Masters na PhD zote zifutwe tuanzishe mfumo wa elimu unaoendana mazingira yetu

    Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kampuni za kubeti wanatumia teknolojia gani ili wasifilisike?

    Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Lissu, Lema na Diaspora wengine?

    Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi wa nchi yetu? Kwani Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusiana na jambo hili?
  20. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

    Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani. Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba...
Back
Top Bottom