Kuna namna natamani kuwa sijui kwa jinsi gani itawezekana

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
940
1,847
Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏.

Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi... lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna computer zilivyotengenezwa basi ningesema nifanye installation ya morden windows nitoke kwenye mawindows ya kizamani ambapo hata software zake ni za kizamani haziendani kabisa na features za kisasa.

NAMNA GANI SASA NAMAMANI KUWA (KUBADILIKA).

1. Mimi ni aina ya wale watu wanaongea sana kiasi ambacho hata kama anaongea vitu vya maana huwezi ku vi value. Natamani kuwa mtu mwenye maneno machache na niongee tu pale inapobidi sio kila mada nichangie...

2. Aina ya mavazi na lifestyle. Niwe mnyamwezi kupindukia nisiejali wataongea nini kwa vile wanavyoniona. Ninywe vinywaji expensive hata kama ni kimoja but kiwe classic nimechoka kunywa ma local drinks kama ni mlevi unalewa kifala kiasi cha kujitoa thamani na utu wako endapo utakosa nidhamu, Ninukie kama subiani unyunyu wa kishua nimechoka kujipaka dawa za mbu 🤣🤣🤣🤣 jocks but i mean local perfumes.

3. Nipate demu mkali low key mwenye akili asie na maneno mengi ikiwezekana asiwe mbongo au amechanya I mean Aficast flani hivi sio mshamba halafu kichwani Shule ipo.

4. Nipunguze marafiki wote wa kifala yani niwe na circle ndogo sana ya marafiki wale wenye akili na exposure sio unakaa na mtu mada zake ni ujinga ujinga tu...kutwa kusema watu hana cha kuongeza kwenye akili yako.

5. Niishi expensive life na sehemu private sio unakaa sehemu watu kibao....kutwa kuchunguzana nani anaingia nani anatoka, nini umekula nini umevaa.

6. Niwe nakaa maeneo classic tu, sio sehemu wanapiga singeli na mchiriku kutwa nzima...watu wanatembea na disposable kuomba kumiminiwa beer i hate that.

Yapo mambo mengi.... najua vitu vingi hapo ili kufanikiwa vinahitaji mtonyo.....sipo vibaya kiivyo kiufupi nikuongeza juhudi kwenye utafutaji but mostly vinawezekana.

Nataka kuanza ilo zoezi mara moja. Nakaribisha maoni na ushauri, nitafurahi kama nitakutana na mtu ambae ameweza kujibadilisha kama mimi nilivyotamani.

Karibuni sana wadau, natanguliza shukrani.
 
Hapa umeshafanikiwa kwanza kutoka.
 
Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie .

Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi...lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna computer zilivyotengenezwa basi ningesema ni nifanye installation ya morden windows nitoke kwenye mawindows ya kizanamani ambapo hata software zake ni za kizamani haziendani kabisa na features za kisasa.

NAMNA GANI SASA NAMAMANI KUWA (KUBADILIKA).

1. Mimi ni aina ya wale watu wanaongea sana kiasi ambacho hata kama anaongea vitu vya maana huwezi ku vi value. Natamani kuwa mtu mwenye maneno machache na niongee tu pale inapobidi sio kila mada nichangie...

2. Aina ya mavazi na lifestyle. Niwe mnyamwezi kupindukia nisiejali wataongea nini kwa vile wanavyoniona. Ninywe vinywaji expensive hata kama ni kimoja but kiwe classic nimechoka kunywa ma local drinks kama ni mlevi unalewa kifala kiasi cha kujitoa thamani na utu wako endapo utakosa nidhamu, Ninukie kama subiani unyunyu wa kishua nimechoka kujipaka dawa za mbu jocks but i mean local perfumes.

3. Nipate demu mkali low key mwenye akili asie na maneno mengi ikiwezekana asiwe mbongo au amechanya I mean Aficast flani hv sio mshamba halafu kichwani Shule ipo.

4. Nipunguze marafiki wote wa kifala yani niwe na circle ndogo sana ya marafiki wale wenye akili na exposure sio unakaa na mtu mada zake ni ujinga ujinga tu...kutwa kusema watu hana cha kuongeza kwenye akili yako.

5. Niishi expensive life na sehemu private sio unakaa sehemu watu kibao....kutwa kuchunguzana nani anaingia nan anatoka, nini umekula nini umevaa.

6. Niwe nakaa maeneo classic tu, sio sehemu wanapiga singeli na mchiriku kutwa nzima...watu wanatembea na disposable kuomba kumiminiwa beer i hate that.

Yapo mambo mengi....najua vitu vingi hapo ili kufanikiwa vinahitaji mtonyo.....sipo vibaya kiivyo kiufupi nikuongeza juhudi kwenye utafutaji but mostly vinawezekana.

Nataka kuanza ilo zoezi mara moja. Nakaribisha maoni na ushauri, nitafurahi kama nitakutana na mtu ambae ameweza kujibadilisha kama mm nilivyotamani.

Karibuni sana wadau, natanguliza shukrani.
Anza kwa kuhama sehemu za michiriku halafu tafuta demu mwenye akili oa, nakuona ukiishi hayo matamanio yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila binadamu ameumbwa tofauti,natabia ni ngozi ya mwili huwezi ibadili,labda ubadilishe kwa kujipaka mkorogo uwe mweupe wa kujiforge.
Kuna vitu vinawezekana vingine haviwezekani,kila binadamu ana hulka yake huwezi badili hulka yako utajifanya tofauti ila mwisho wa siku utarudi kwenye hulka yako,penda ulivyo wewe ni sanguine ndo jinsi ulivyo sema huwezi kutumia org yako vinzuri
 
Hapa umeshafanikiwa kwanza kutoka.
Humu sio pa kuanika personal life....
Spana zinakua nyingi🤣🤣😂

Duu yaan medula zinashindwa kuchakata taarifa....
Jf sihami..😄😄😀
 
Back
Top Bottom