gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Unachukua hatua gani biashara inapodorora?

    Nimeanzisha biashara ya bisi(popcorn) kwa packaging lakini inaenda wiki mbili sasa inatoka taratibu sana na siku nyingine haitoki kabisa. Nichukue hatua gani maana nategemea nipate faida ili niendeshe maisha. Najikuta nakula tu hela inayopatikana kidogo kama ni 1000/= naipigilia tu, yani I wish...
  2. Kariakoo sehemu gani naweza kupata simu used kwa bajeti kama laki 2?

    Wazee kichwa cha habari kinajitosheleza
  3. Ni kwa namna gani naweza ku fix tatizo la bluescreen (BSOD) katika Lenovo

    Whatsupp Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie tena. Mwanzo niliona kawaida kwasababu hizi Windows 10 ishu ya bluescreen ni very common, so...
  4. Unatumia KISWASWADU gani?

    Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani? Naanza mwenyewe Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
  5. J

    CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani? Mungu ni mwema wakati wote!
  6. Wakuu hii ni software gani (logo designing)

    nashindwa kuelewa hii interfere Ni ya software gani
  7. Z

    Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  8. Hivi 'Provisional results' huwa zinaruhusiwa kuombea kazi badala ya cheti?

    Habariii! Utafata utaratibu gani endapo umemaliza chuo, cheti hujapata unapata sehemu za kufanya kazi lakini kinaitajika hicho cheti ambacho hakijatoka. Hivi professional results uwa zinaruhusiwa kuombea kazi instead of cheti?
  9. M

    Ni jinsi gani ya kuchukua package kutoka DHL warehouse?

    Jamani mi ninataka msaada kidogo. Nilituma package kutoka UK through DHL, unfortunately package haikuchuliwa kwa wakati muafaka. Nimeongea nao wanasema ipo warehouse. So ni jinsi gani ya kuitoa hiyo package warehouse? Naombeni msaada wa mawazo.
  10. Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa TZ

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  11. Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa Tanzania

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani. Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  12. SoC02 Jinsi ya kuutunza na kuutumia muda kwa usahihi ili ufanikiwe kutimiza malengo mbalimbali uliyojiwekea?

    Kila mtu katika maisha ana malengo yake ya kimafanikio, yanaweza kuwa mafanikio ya kiuchumi, kisiasa, kielimu au katika nyanja nyingine zozote za kijamii. Lakini watu wengi hushindwa kutimiza malengo yao kama vile walivotarajia kutokana na sababu tofautitifauti, ikiwemo matimizi mabaya ya muda...
  13. Nyimbo gani ya kitambo inakubamba sana ukisikia?

    Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi: TID -zeze Profesa Jay ft Lady Jaydee - Hivi Kwanini Sugu ft Stara Thomas - Kiburi Nipe zako
  14. Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Wakuu Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa. Nyie wenzangu...
  15. B

    RITA hutumia muda gani kujibu baada ya ku-apply

    RITA HUTUMIA MUDA GANI KUJIBU BAADA YA KUAPPLY VERIFICATION YA BIRTH CERTIFICATE?
  16. N

    Foreign Service Officer ni nani na ana majukumu gani katika nchi!?

    Wananzengo Napenda kujua kwa kina Foreign Service Officer ana majukumu gani na kazi hii fursa gani na changamoto zipi!?
  17. Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  18. Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

    Ukweli ni kwamba kuna maneno mengi sana ambayo yanatumika na watu mbalimbali hususani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu mwingine. Binafsi, kuna neno "Sio kirahisi hivyo kama unavyodhani" Hili ni neno ambalo limeachisha mawazo ya watu wengi kuhusiana na kujihusisha na jambo fulani. Mfano...
  19. B

    Muhimbili, kulikuwa na haja gani ya upasuaji kutenganisha watoto mapacha?

    Kwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha. Kwani kulikuwa na haja gani ya operation hii? Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine? Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu? Kwa hakika Muhimbili...
  20. M

    AJABU: Vyombo vya Habari Tanzania na Watanzania tunavyofuatilia uchaguzi Kenya, tuna maslahi gani haswa?

    Wana JF nisaidieni. Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho? Ingelikuwa Marekani ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…