gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

    Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi majukumu yanazidi..nahisi kudata! Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
  2. R

    Je, kuna faida gani ya kuwa na mikutano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi?

    Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani. Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea? Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye...
  3. Lafacha

    Msaada: Ni software gani au program ambayo inaweza kufanya haya?

    Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii. Mfano: Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi...
  4. Ntak

    Ni matilio gani bora ya kufungia maduara ili kuzalisha kwa ufanisi?

    Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio. Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili wachimbaji wa mgodi niliopo, ni ufungaji wa maduara kwa kutumia matimba/miti. Kitendo cha kufungia...
  5. Determinantor

    Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
  6. DR HAYA LAND

    Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  7. L

    Ukuta huu uliopo Kikuyu Dodoma ni wa taasisi gani?

    Wakuu, huu ukuta upo Kikuyu Dodoma, Ni wa taasisi gani?
  8. MR.NOMA

    Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  9. I

    "Myamwezi" ni mtu wa namna gani?

    Huko mtaani vijana wakikutana wanaitana "Mnyamwezi" au kabla ya kumpongeza mwenzao kwa jambo lo lote lile utasikia "Mnyamwezi" Hivi wana maana gani?
  10. Chachu Ombara

    Hili tundu kwenye kufuli lina kazi gani?

  11. T

    CHADEMA waje na ajenda gani kwenye mkutano wao wa kwanza baada ya kutoka kifungoni?

    Kama ilivyosemwa kwamba chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani hapa nchini kitaanza mikutano yake ya hadhara hivi karibuni, kutokana na hali ya mambo ilivyo Kwa sasa na mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyotokea baina ya utawala wa kikwete magufuli na hatimae Samia, ni hoja zipi unadhani zitaleta...
  12. ERTUGRUL BEY

    Kwa tabia hii una tofauti gani na Ibilisi?

    Tabia iliyomponza Ibilisi ni KIBURI. Baada ya kuambiwa na Mwenyezi Mungu amsujudie Adam sijida ya heshima basi yeye alikataa Kwa kujawa na Kiburi kwasababu yeye alijiona Bora sana. Na alipoambiwa kwanini ulikataa kumsujudia Adam akasema; Mimi ni Bora nimeumbwa Kwa Moto na yeye ameumbwa na...
  13. MR.NOMA

    Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  14. Chief Kumbyambya

    Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

    Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
  15. NetMaster

    Kuna ukweli gani kuhusu watoto wanaofuatana kuzaliwa kupenda kugombana?

    Daaaah nakumbuka wakati nipo mdogo nilikuwa nazichapa haswa na mdogo wangu, ila nilokuwa ni kama napigana kwa tahadhari situmii nguvu zote. Yaani dogo aliniona mie kama boya tu, saa ikafika siku nikaamua kutumia full force yani nilimshushia mzigo wenyewe bila kujivunga ndio heshima ikawepo...
  16. Extrovert

    Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa. Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
  17. Expensive life

    Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na mikucha kama hiyo eti atangaze ndoa hiyo ni big hapana. utapigwa pipe miaka ndenda rudi na hauta sikia...
  18. H

    Kuna tatizo gani NIDA?

    Naomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani. Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha? Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.
  19. Lycaon pictus

    Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

    Eti wakuu. Shanga huundwa na materials gani? Maana plastic si plastic.
  20. Crocodiletooth

    Ni engine gani naweza funga kwenye Nissan civilian nje ya engine yake? Original

    Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
Back
Top Bottom