Kisa gani ulikumbana nacho kwenye safari yako ya mapenzi

Mama Mwana

JF-Expert Member
Jun 6, 2023
1,217
3,898
nilikua nikieperuzi peruzi humu nikana kuna mtu anatafuta mume mtu mzima akanikumbusha mbali sana kwenye moja wapo ya kisa nilichokutana nacho, ilikua hivi

nilitokea kupata danga la kizee, ni mtu mzima mno maana si mama yangu wala baba yangu anamfikia sasa nikawa namuita babu, huyu babu niseme alinipenda lakini mimi nilikua napenda hela zake, na hakua mchoyo anajua kutuma hela sjawah kupata mwanaume anaejua kutuma hela kama yeye tena na ya kutolea juu, sasa bwana mwanzon anaanza kunitongoza mimi nilikua naona nuksi na mkosi gan unaniangukia kutongozwa n kikongwe tena na kunililia kama mtoto mdogo. Nikawa najionea mambo mageni aliniogopesha mno lakini palikuapo na mama mtu mzima age kama ya bi mkubwa wangu

nilikua namshirikisha yanayoendelea akaniambia kua makini mara nyingi wanakuwaga wameukwaa asije kukuua bure, kizaazaa ni ikifika lunch naletewa misosi mizito na hela juu mimi nasweka tu tumboni, kuna kasauti kakawa kananishauri huyo hujamuomba anawewesekea penzi lako akikupa hela pokea kwa sababu ni kiherehere chake hujamuomba, ikawa ni hivyo nikitoka napitishwa kula ice cream siku asipokuja kunichukua lazima anunue aniletee nyumban, hapa nilikua natumia mbinu zote nitoke nikachukue ice cream tu na hela sasa bwana babu akutaka mzigo, mimi nikaanza kupiga dana dana, tena akaanza kunitolea na maneno ya shombo na mm namtukana ikawa kama desturi baada ya hayo anakua haonekani, hanipatilizi hanitafuti na akija maeneo ya kazini kama hanijui vile, kisha baada ya muda anakuja tena kwa kasi mimi na yee tunaishia anapotaka mzigo akaubute, sku moja moja akanitishia nakuja kukuripot kwa boss wako unanitukana, nikamjibu unakuja saa ngap muda wakutoka unakaribia, mie nikamwambia boss kuna mwehu mmoja ana shida na ww huyu mkurugenzi ni mwanaume na yeye alikua ananilia mingo sikumficha nilimweleza ni nni na shida nini, asije mpuuzi yule baadae najiandaa kutoka ananitumia msg nimekuchukulia rb yako niko mjini useme baadae nikuletee wapi nikamwambia uniletee rb wapi mzee wewe niambie kituo mimi nakuja happ chap, akanitajia kituo mimi huyo.

I was very confused, yani naongea kama mwehu kwamba hiki sasa s ni kituko cha karne kosa ni kumtukana au n nn polisi tena wapi na wapi mbona babu anajiresi sana nikafika kituoni nisimkute nikampigia, uko wapi nishafika mm nakuja subiri, nikaulizwa aloo unashida gan msichana nikajibu nimechukulia rb namsubir alienichukulia rb hapo moyoni nilijua leo mimi nalala mahabusu nilichokifanya nikamtumia msg bi mkubwa, mama nitachelewa nina dharura.

Basi kibabu hiko kikaja bwana akanipeleka kaunta tukasikilizwa, yulepolisi akamuuliza wewe babu mtu mzima huyu s kama mjukuu wako huoni aibu et amenitukana nataka kumkomesha mimi nipo onyesha msg et nimezifuta ntaenda tigo waprint tukatimuliwa na askari ila akanizuia akaniambia muache huyo babu aende asije akakunyaga na gar umemdhalilisha hapo ni saa mbili usiku nikaondoka hiki kisa nikikimbuka hua najicheka sana sikuwahi kutegemea nikakutana na kituko kama hicho japo mbele alibadilika

wewe ulikumbana na kisa gan kwenye safar yako ya mapenzi?
 
Kuna dada mmoja alikuwa anakaa Masaki(code) zamani kidogo ( mtu mkubwa sana sasa) miaka hiyo kaka (mtu mkubwa sana sasa) alikuwa anakaa mitaa hiyo. Mtoto wa kaka alikuwa anapata kipaimara, tukaalikwa!!!!!!!

Mdada mrembo kweli!!!!. Nikamtongoza(wote tunasoma sekondari) akaniambia subiri kidogo, baadaye akaja akaniambia twende ndani tukaongee vizuri!!!!!!!! Nikasema hapa ngoma fresh!!!!!!!!!!!

Hamadi, ile kuingia ndani nakuta ndugu wa kike kama wote mama, shangazi, dada, mama wadogo!!!!!!! Mtoto akawaambia:

Mtoto:"Huyu ndiye amesema ananipenda"!!!!!!!

Kundi la watu :"Eti baba ni kweli"??????

Kundi la watu: "Baba mbona upo kimya, wewe si unajua kutongoza?????"

Kundi la watu: "Basi baba unaweza kwenda, mtu mwenyewe hata kuongea hujui!!!!!"

Hili tukio huwa nalikumbuka sana!!!!!!!!!!!! Siwezi kumlaumu na ulikuwa utoto!!!!!!!!!!Ulinzi muhimu hasa kwa mtoto wa kike!!!!!!!!!!! Baadaye akaja kupenda lakini alichelewa sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yaani kachoma picha na negative yake kabisa
 
Umenichekesha kweli
 
Minina visa vingi....
Sasjui nisimulie kisa kipi...🙄
chochote mimi kingine ni hiki

nilisafiri mji mwengine,bahat nzuri nilikutana na rafiki yangu mkubwa sana niliyesoma naye o level akanipeleka ofisin kwake ili nimsubiri tuondoke pamoja, sasa ana workmate mwenzie akanipenda, aliniomba namba sikumpa kwa siku hio ila baada ya kumsumbua sana shoga yangu nikamruhusu ampe, bas tukanza mawasiliano kujuana kwa sim mwisho akanitongoza, kwa muda ule nilikua singo nikajisemea ya nn mie nife singo asitokee mtu wa kuninililia ukiwaacha wazaz lazima mtoto wa mama mkwe apatikane, bas nikamkubalia ikabidi tupange niende huo mkoa tena nikadanganya tena home nimepata safar ya kikaz ya wiki nzima nikajiandaa nikaanza safar, yule mbweha akanisubiria stendi alikua na usafiri wake haoo tukaunga root nje ya mji hotelini bas huyy nilitokea kumuelewa nikajisema mambo s haya kumbe nimepata bonge labbwana kumbe nimepatikana, wiki ikakata yule fisi akanisindikiza stend lakini alinipitisha kwake tukalala siku moja tena mie nikarudi zangu, akaniambia mamii nataka kuja nyumbani mie tena wewe mbona haraka kufanya nn nyumban akajibu nataka kuwaona wazaz nijitambulishe rasmi, mie sikulala ile siku yan nilijiona bonge la queen kumbe mwehu mmoja mwenye matukio yasiokwisha, nikampanga bi mkubwa kwanza nikamueleza ukweli mama akaniambia mwambie aje siku ambayo baba yako hatakuepo of coz mzee alikua na safar nikampanga jamaa akaja nikajipinda kuandaa, namuandalia mume mtarajiwa jamani ngoja ncheke 😂😂😂😂😂 akaja dear ex akakipenda chakula akamuomba mama nikamtembeze mjini aone mji hajawah kufika mama akaruhusu nikatoka bwana ana mahaba ya kuigiza yule na kunifungulia mlango moyo wangu ukajawa na furaha yan mimi leo nafubguliwa mlango sjaolewa huyu mume si atakua ananiogesha akinioa tukazurura tukarud mind you sikuliwa hii siku akamshukuru bi mkubwa mamaakamuuliza uliza maswali akajibu vizur tu bas akamwambia mama naenda kuweka mambo sawa nitarud kwa hatua nyingine mammaee ilikua ndio nitoleee had leo sjawah kuiona sura yake, nikaja kuambiwa ameoa na kulikua na wasichana wengine kawafanyia kama mimi jaman niliteseka sana niliumia nikashukuru nikamove on yan mpaka mtu akiniambia ninataka kuja kwenu nikupose nakataa mwisho nikawa najiambia ukisikia kupiga teke furushi la baraka ya ndoa ndio huku akitokea wa kweli s ntakua nimemkimbiza
 
Duhhhh hatare sana....😂
Ebu nishauri kwanza, nisimulie kisa cha humu jf nilivyo sutwa na wadada kama 10 hivi ama nisimulie kile kisa cha chuoni nilivyo dondoka na kuwaangukia niliokua nawakula chabo kutoka juu ya mapipa ya maji...🤣
 
kumbe humu kuna mambo ilikuaje ukasutwa nipe hio kisha twende kwenye chabo hahaha kama nilikuepo wakat unaanguka
 
1: Kuna dada mmoja alikuwa anakaa Masaki(code) zamani kidogo ( mtu mkubwa sana sasa) miaka hiyo kaka (mtu mkubwa sana sasa) alikuwa anakaa mitaa hiyo. Mtoto wa kaka alikuwa anapata kipaimara, tukaalikwa!!!!!!!

Mdada mrembo kweli!!!!. Nikamtongoza(wote tunasoma sekondari) akaniambia subiri kidogo, baadaye akaja akaniambia twende ndani tukaongee vizuri!!!!!!!! Nikasema hapa ngoma fresh!!!!!!!!!!!

Hamadi, ile kuingia ndani nakuta ndugu wa kike kama wote mama, shangazi, dada, mama wadogo!!!!!!! Mtoto akawaambia:

Mtoto:"Huyu ndiye amesema ananipenda"!!!!!!!

Kundi la watu :"Eti baba ni kweli"??????

Kundi la watu: "Baba mbona upo kimya, wewe si unajua kutongoza?????"

Kundi la watu: "Basi baba unaweza kwenda, mtu mwenyewe hata kuongea hujui!!!!!"

Hili tukio huwa nalikumbuka sana!!!!!!!!!!!! Siwezi kumlaumu na ulikuwa utoto!!!!!!!!!!Ulinzi muhimu hasa kwa mtoto wa kike!!!!!!!!!!! Baadaye akaja kupenda lakini alichelewa sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
2: Kuna rafiki yangu alimpenda binti fulani (maarufu sana kwa sasa), ratiba ya kuonana kwao ilikuwa ngumu kwa maana wote ni geti kali sana!!!!!!!!!!!!!

Rafiki yangu mdomo ulikuwa mzito sana hata nafasi adimu akikutana naye alikuwa hawezi kusema chochote!!!!!!!!!!!Valentine day ikafika, utoto bwana (sekondari hiyo).Tukapanga mpango.

Mimi: Mzee, umekuwa domo zege, mpe kadi.

Rafiki: Wazo zuri, na Valentine hii anaweza kukubali!!!!!

Kadi ikapatikana,(wahenga wanakumbuka) utata jamaa anayo kadi mkononi ,mtoto alipotoka shule ndiyo ulikuwa muda muafaka wa kumpa!!!!!!! Mara mtoto huyo!!!! Jamaa akashindwa kumpa!!!!!!!!!!!!

Rafiki: Dah, namuogopa na siwezi kumpa, nisaidie!!!!!!

Rafiki: Nikienda nyumbani ndiyo mpaka kesho, jitahidi umpe.

Mimi: Usijali, tutaonana kesho Mungu akipenda!!!!!!!!!

Nikachukua kadi!!!!!!!!! Nikaenda mitaa ya mrembo kutega!!!!!!!! Kama zari walikuwa wanamtoko wa usiku!!!! Alipendeza sana!!!!!!!!!! Alikuwa na dada zake, nikamuita............akasema fulani njoo hapa. Mimi na kadi huyo!!!!!!!!!!!

Mimi: Samahani, nimepewa mzigo na fulani amesema ni lazima nikufikishie wewe ni zawadi ya Valentine!!!!!!!!!!!!

Mrembo: Yule rafiki yako???

Mimi: Ndiyo.

Mrembo :Haya naomba hiyo zawadi yangu!!!!!!!!!

Akachukua kisha akaichana chana taratibu na kwa madaha ya kike mbele ya dada zake kisha akasema:

Mrembo: Iwe mwanzo na mwisho wa kunisumbua na vikadi vyenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wakati anaichana ile kadi, watu na dada zake walijua mimi ndiyo mhusika!!!!!!!!!Yale maumivu na aibu nilihisi dunia ndogo!!!!!!!!!

Kesho yake tukaonana na rafiki yangu!!!!!!!!!!!!!!

Rafiki: Alipokea????

Mimi :Ndiyo, na akaichana mbele yangu na dada zake, vipande hivi hapa!!!!!!!!!!!

Jamaa alilia kama mtoto mdogo!!!!!!Mara baada ya kumaliza kulia akasema:

Rafiki: Imetosha sasa!!!!!!!!!!!

Mpaka kesho huyu mrembo (akisoma hapa atakumbuka) anamtafuta mshikaji!!!!!!!!!!!!

Hili tukio lilinisikitisha na kunisonenesha sana!!!!!!!!!!!!!!

Balehe ina changamoto zake!!!!!!!!!!!

Ogopa machozi ya mwanaume au mwanamke hasa ukimkosea kwa makusudi!!!!!!!!!!!!

Kutoa machozi ni tiba tosha sana!!!!!!!!!!!!!

"Kama una huzuni lia,machozi yatakapoisha maisha yataendelea" (Fearless , Jet Li)
 
Akachukua kisha akaichana chana taratibu na kwa madaha ya kike mbele ya dada zake kisha akasema

Mrembo: Iwe mwanzo na mwisho wa kunisumbua na vikadi vyenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wakati anaichana ile kadi, watu na dada zake walijua mimi ndiyo mhusika!!!!!!!!!Yale maumivu na aibu nilihisi dunia ndogo!!!!!!!!!

Kesho yake tukaonana na rafiki yangu!!!!!!!!!!!!!!

Rafiki: Alipokea????

Mimi :Ndiyo, na akaichana mbele yangu na dada zake, vipande hivi hapa!!!!!!!!!!!

Jamaa alilia kama mtoto mdogo!!!!!!Mara baada ya kumaliza kulia akasema:

Rafiki: Imetosha sasa!!!!!!!!!!!

Mpaka kesho huyu mrembo (akisoma hapa atakumbuka) anamtafuta mshikaji!!!!!!!!!!!!

Hili tukio lilinisikitisha na kunisonenesha sana!!!!!!!!!!!!!!

Balehe ina changamoto zake!!!!!!!!!!!

Ogopa machozi ya mwanaume au mwanamke hasa ukimkosea kwa makusudi!!!!!!!!!!!!

Kutoa machozi ni tiba tosha sana!!!!!!!!!!!!!

"Kama una huzuni lia,machozi yatakapoisha maisha yataendelea" (Fearless , Jet Li)
After all life goes on
 
Kwa hukumpa chance

Back
Top Bottom