Ulipomfumania umpendaye ulichukua hatua gani?

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,892
Asubuhi hii mie nipo busy .
Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu.

Siku moja niliamua kwenda kumsabahi mwaya dah yupo na mwana dada anatako kubwa , ni mrefu alikuwa na nywele poa sana. Nanizake hawa wahawajaniona nikachukua video nikapeleka kuonyesha kwa ndugu zake wote.

Wakaona wakadai alikuwa anakuficha tuna nani malaya tu tena sana.
Haya siku moja aliniita mahali naona tuwe serious nimeacha kila kitu nataka tuoane.

Jamani kwasababu nilimpenda sana nikasema okay. Akafurahi kweli akamwambia mama yake. Ila mama yake alidai hamtowezana, kweli, nimalaya sana basi siku moja bàada ya hili nilimuona na mzungu wapo busy wakikiss nikasema mmh! Ngojasasa nikachee na huu usiano kwisha.

Nilikaa muda tu, bila text wala kujibu simu zake. Muda ulipowadia wakujibu text alidai anaumwa sana sijui nini, nikaenda kamuona mtu kazima tu eti ni mafua. Ile anataka mengine nikamuonesha zile videos za yule mwanamke wa kwanza, wapili, watatu, na huyu wanne mzungu.

Nikamwambia uhusiano wako na mie umekwisha tena kabisa. Ila mie bado nampenda hivyo. Ila nilikubali kiishe, maana haya maisha tunaendeshwa na afya.

Kwani nilitoka, kumbe nilipoingia alifunga mlango kabisa🤔😓😔! Niliomba watu wafungue waligoma. Kifuatacho nichakusikitisha, maana niliamua kuplay mchezo wake. Mimi huwa ninatembea na precaution sio kinga hapana, if sitaki niwe na huyo mtu.

Nikafanya hivyo, nikaenda bafuni nikanywa hizo dawa ile nipo karibu naye nikazimia, nikaanza toa mapovu hapo nahadithiwa. Kufika hospitali wanauliza mmempa nini, kila mtu anadai hakuna hajala hata kitu kwetu wala maji, baadae after 2 month nikahama mji.

Toka hapo sijamuona tena, nilimove on, ila huyo jamaa nilimpenda sana, sijachanganya mafile nilipokuwa naye. Ila kweli nyie wanaume mnapenda kuwapanga wadada.

Je, ulipomfumania wako ilikuwaje?
 
Asubuhi hii mie nipo busy .
Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu.

Siku moja niliamua kwenda kumsabahi mwaya dah yupo na mwana dada anatako kubwa , ni mrefu alikuwa na nywele poa sana. Nanizake hawa wahawajaniona nikachukua video nikapeleka kuonyesha kwa ndugu zake wote.

Wakaona wakadai alikuwa anakuficha tuna nani malaya tu tena sana.
Haya siku moja aliniita mahali naona tuwe serious nimeacha kila kitu nataka tuoane.

Jamani kwasababu nilimpenda sana nikasema okay. Akafurahi kweli akamwambia mama yake. Ila mama yake alidai hamtowezana, kweli, nimalaya sana basi siku moja bàada ya hili nilimuona na mzungu wapo busy wakikiss nikasema mmh! Ngojasasa nikachee na huu usiano kwisha.

Nilikaa muda tu, bila text wala kujibu simu zake. Muda ulipowadia wakujibu text alidai anaumwa sana sijui nini nikaenda kamuona mtu kazima tu eti ni mafua. Ile anataka mengine nikamwonyesha zile videos za yule demu wa kwanza ,wapili, watatu, na huyu wanne mzungu.

Nikamwambia uhusiano wako na mie umekwisha tena kabisa. Ila mie bado nampenda hivyoo. Ila nilikubali kiishe maana haya maisha tunaendeshwa na afya.
Kwani nilitoka kumbe nilipoingia alifunga mlango kabisa. 🤔😓😔 niliomba watu wafungue waligoma . Kifuatacho nichakusikitisha maana niliamua kuplay mchezo wake mie ninatembeaga na precaution sio kinga hapana,if sitaki niwe na huyo mtu.

Nafanya hivyo nikaenda bafuni nikanywa hizo dawa ile nipokaribu naye nikazimia nikaanza toa mapovu hapo naadithiwa , kufika hospitali mmempa nini kila mtu anadai hakuna hajala hata kitu kwetu wala maji , baadae after 2 month nikahama mji . Nandio sijamuona tena. Nilimove on. Ila huyo jamaa nilimpenda sana. Sijachanganya mafile nilipokuwa naye . Ila kweli nyie wanaume mnapenda kuwapanga wadada, JE NIAMBIE ULIPOMFUMANIA WAKO ILIKUWAJE?
Nimependa hicho kifungashio tu.
 
Asubuhi hii mie nipo busy .
Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu.

Siku moja niliamua kwenda kumsabahi mwaya dah yupo na mwana dada anatako kubwa , ni mrefu alikuwa na nywele poa sana. Nanizake hawa wahawajaniona nikachukua video nikapeleka kuonyesha kwa ndugu zake wote.

Wakaona wakadai alikuwa anakuficha tuna nani malaya tu tena sana.
Haya siku moja aliniita mahali naona tuwe serious nimeacha kila kitu nataka tuoane.

Jamani kwasababu nilimpenda sana nikasema okay. Akafurahi kweli akamwambia mama yake. Ila mama yake alidai hamtowezana, kweli, nimalaya sana basi siku moja bàada ya hili nilimuona na mzungu wapo busy wakikiss nikasema mmh! Ngojasasa nikachee na huu usiano kwisha.

Nilikaa muda tu, bila text wala kujibu simu zake. Muda ulipowadia wakujibu text alidai anaumwa sana sijui nini nikaenda kamuona mtu kazima tu eti ni mafua. Ile anataka mengine nikamwonyesha zile videos za yule demu wa kwanza ,wapili, watatu, na huyu wanne mzungu.

Nikamwambia uhusiano wako na mie umekwisha tena kabisa. Ila mie bado nampenda hivyoo. Ila nilikubali kiishe maana haya maisha tunaendeshwa na afya.
Kwani nilitoka kumbe nilipoingia alifunga mlango kabisa. niliomba watu wafungue waligoma . Kifuatacho nichakusikitisha maana niliamua kuplay mchezo wake mie ninatembeaga na precaution sio kinga hapana,if sitaki niwe na huyo mtu.

Nafanya hivyo nikaenda bafuni nikanywa hizo dawa ile nipokaribu naye nikazimia nikaanza toa mapovu hapo naadithiwa , kufika hospitali mmempa nini kila mtu anadai hakuna hajala hata kitu kwetu wala maji , baadae after 2 month nikahama mji . Nandio sijamuona tena. Nilimove on. Ila huyo jamaa nilimpenda sana. Sijachanganya mafile nilipokuwa naye . Ila kweli nyie wanaume mnapenda kuwapanga wadada, JE NIAMBIE ULIPOMFUMANIA WAKO ILIKUWAJE?
Nimejitahidi kusoma nielewe ila kila nikikaza nahisi ajali kichwani.....ni ngumu sana kuelewa ndugu mwandishi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom