gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

    Bila shaka Mko Pouwa! Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda. Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi walokole mna shida gani?

    Katika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure. Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu...
  3. JamiiForums Tanzania Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

    Nahisi kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia. Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kwenye fridge, yaani ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados. Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia...
  4. JamiiForums Tanzania Tazama video hii ya maajabu kisha niambie ni sayansi gani imetumika hapa

    Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu.
  5. JamiiForums Tanzania Haya tujuane sasa tuko katika Kundi gani kati ya yafuatayo yaliyotajwa hapa

    "Kwa nje namtafsiri kijana kwa umri wake na matendo yake. Kijana kiumri kuanzia miaka 16 hadi 34. Kuanzia miaka 35 hadi 45 ni mtu wa makamo. Kuanzia 50 na kuendelea ni mtu mzima. Miaka 70 na kuendelea ni Mzee" Mwanaidi Kombo, Mwanasaikojia. Chanzo: cloudstv GENTAMYCINE nilikuwa najiona tayari...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambapo Mungu ni kwaajili ya viongozi; hata watende ubaya gani utasikia Mungu ameamua. Masikini mwovu hana Mungu, ni mali ya jela

    Kati ya jambo ambalo sitadhubutu kumuhusisha Mungu nikatika ukatili wa kiongozi dhidi ya anaowaongoza. Naamini hakuna Mungu wa viongozi waovu bali Mungu ni wa wenye haki. Naamini haki ya kuishi Ben Sanane na wengine wengi ni haki ya kila mmoja na Mungu hakuwahi kuamua vinginevyo. Naamini haki ya...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  8. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

    Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ? Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
  9. JamiiForums Tanzania Chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona sherehe haijakamilika?

    Wana maakuli kwema? Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na kachumbari naona kama siku kawaida, ukolezo hapo kwenye pilau nyama, sio pilau kuku au mboga nyingine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakati gani mzuri wa kufanyana

    Usiku au mchana na kama ni usiku iwepo taa au izimwe ,madirisha yafungwe au yawachwe wazi ,kuna mapazia. tafadhali saidia utushauri. Nitafarijika zikiwepo sababu na ukosoaji. Ukizingatia kutupatia faida.
  11. JamiiForums Tanzania Hezbollah wana nguvu kiasi gani kama Jeshi?

    Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon. Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na wakristo. Hezbollah wapo vizuri hasa katika kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi kama ilivyotokea First...
  12. JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

    Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%. Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani...
  13. JamiiForums Tanzania Walimu tuna shida gani?

    Walimu hatunaga la kujiongeza!! Umewaambia watoto wa darasa la nne waje na chakula na pesa kwa ajili ya mtihani. Wamekuja mikono mitupu unawachalaza fimbo na kuwarudisha nyumbani ati rudieni pesa! Imenikera sana leo. Mkuu wa shule unakuwaje na akili za vitenge vya mwenge? Unajua walimu...
  14. JamiiForums Tanzania Tunda gani la asili umelikumbuka na halipatikani ulipo kwa sasa?

    Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena. Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya kwetu yanaitwa ndati, sema siwezi yapata hadi nirudi kwetu, ila ili kupoza moyo nitaenda sokoni kutafuta...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

    Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
  16. JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi anapaswa kuwa na Elimu gani?

    Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu? Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 2 mabadiliko mara 4: CCM itikadi na uenezi kuna shida gani?

    Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao: 1. Humphrey PolePole 2. Shaka Hamdu Shaka 3. Sophia Mjema 4. Paul Makonda Huwezi ukawa na taasisi imara ya kisiasa halafu ukawa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako

    Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa. Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
  19. JamiiForums Tanzania Umemtongoza kabla ya game anakuambia anaomba pesa akachome sindano za UTI, utachukua uamuzi gani?

    Yamemkuta jamaa huko mtaani. Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo. Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada...
  20. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukikutana na mtoto kwenye barabara isiyo na watu kama hivi?

    Utachukua hatua gani hili likikutokea?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…