gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
  2. JamiiForums Tanzania Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  3. JamiiForums Tanzania Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Wakuuu habari za usiku. Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO. 1. Kutopokea simu. Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kusali kabla ya Kula?

    Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya? Au LIMBWATA?
  5. JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Huduma za Afya za Bure kwa Wazee zinatolewa kwenye Hospitali gani? Mbona kila napoenda nakuta Wazee wanalipishwa tu

    Licha ya Serikali kutoa maelezo kuwa Huduma za Afya kwa Wazee zinatolewa Bure kwenye Vituo vya Afya, uhalisia katika utekelezaji wake umekuwa haueleweki na hivyo, kusababisha kero kwa Wazee wanaofika katika baadhi ya Vituo kupata Huduma. Mamlaka zitoe maelekezo sahihi kuhusu Huduma hizo kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hadithi Fupi: Ni kiwango gani cha Ardhi anachohitaji mwanadamu

    Wapenzi wa simulizi, hii ni Simulizi iliyotoka mwaka 1886 huko Urusi iliyotungwa na Nguli wa Fasihi, Leo Tolstoy. Mwanafasihi huyu ameandika Riwaya na Hadithi fupi fupi nyingi sana. Riwaya zake Maarufu ni Anna Karenina na War and Peace. Hadithi hii fupi iliitwa : WHAT AMOUNT OF LAND DOES A...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo gani muhimu ya Kumfundisha Mtoto mapema kabla hajawa nunda?

    Ukiwa Mzazi bila shaka unabeba jukumu kubwa la malezi na jinsi unataka kumshape mwanao. Ni mambo gani unahakikisha mwanao anayajua mapema?
  10. JamiiForums Tanzania U.S.A, China, Singapore wanatufundisha mambo gani na vipi kuhusu nchi nyingine?

    Meza ya siasa na uongozi Somo lililopo mezani je, ni mambo gani Singapore, U.S.A na China wanatufundisha sisi nchi iliyo poteza dira ? Kwangu mimi kama tukitaka kujifunza Vyama bora vya siasa, Mifumo/taasisi imara na Bunge bora Basi yatupasa kuzama hizi nchi. Kwa Bunge bora Hapa tutazame na...
  11. JamiiForums Tanzania Basi gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita?

    Habari zenu, Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita. Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Mwenezi aelekee upande gani kwenda kupuliza dawa ya kuua wadudu?

    Walimuona Mwenyekiti wetu mstaarabu sana na mwenye upendo kwa watu wote, wapuuzi wale wakaanza kumkejeli kumdhihaki kumtweza. yarabi Mwenyekiti hakulelewa kwenye malezi ya aina hiyo yeye akawa mpole tu, akazidi kuwapenda mara mbili zaidi, baadae ikaonelewa vijana wanawezana kwa vijana, acha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilitokea maishani likabadilisha mtazamo na imani yako?

    Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa iliyopita nilipoteza kamera ya rafiki yangu mmoja aliyekuja kututembelea nyumbani kwetu. Nilikuwa bado mwanafunzi nikiishi pamoja na wazazi. Rafiki huyu aliipata kamera hiyo kama zawadi kutoka kwa ndugu yake aliyekuwa akiishi ughaibuni. Tulipiga picha nyingi naye...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya akili na maswali?

    Mfano mzuri darasani ukiuliza swali simple kila mtu atakuona kilaza na mjinga ila ukiuliza swali gumu utaonekana mwamba! Kwani kuna uhusiano gani kwenye hivi vitu?
  15. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na; Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Uliachwa kwa staili gani?

    Ndugu zanguni, mkiniona nimekuwa sugu la mapenzi kiasi hiki, jueni tu nimepitia mianzi ya kila kiwango. Nipende tu kusema haya mapenzi hayana mwenyewe. Enzi zile nilipokuwa napata taarifa ya usaliti ama kitelekezwa nililia sana, hii ni kwa kuwa nilikuwa napenda mpaka napenda tena, yaani unaingia...
  17. JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani mtu ataingia akitaka kutumia umeme wa solar tu nyumbani kwake?

    Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hapa ni wapi?

  19. JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani unayajutia yaliyokupotezea muda

    Nilipokuwa na miaka 21 Najutia kulazimisha penzi na mwanamke ambae hakunipenda, nilipoteza almost mwaka mzima kulazimisha kisichowezekana, nilijifunza kwa uchungu zaidi mapenzi hayalazimishwi nilipoona ana mimba na kaenda kutolewa posa. Nakumbuka niliwahi kupoteza mwaka mzima kujaribu...
  20. JamiiForums Tanzania Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN. Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…