gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
  2. JamiiForums Tanzania Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

    Nisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda. Naomba majibu.
  3. JamiiForums Tanzania Ni katika vitu gani inabidi umkaripie mpenzi wako na katika vitu gani inabidi usimkaripie?

    Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu. Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya kukemea unakaa kimya sehemu ya kuongea kwa upole unafokafoka. Kwa mtazamo wangu dondoo ni hizi hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni channel gani yako pendwa zaidi youtube kwa sasa?

    Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa? https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
  5. JamiiForums Tanzania Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

    Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea. Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.
  6. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinawagopesha wanawake katika mahusiano

    Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho? Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo? Je ni kweli, wanawake wanaamini kwamba mapenzi huwa addictive, kwamba ukifanyanae mapenzi nae, lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka gani zinawajibika kufanya marekebisho ya barabara za mitaani?

    Salaam Wadau, Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye magari. Kwa mtaa ninaoishi imekuwa busara tu ya wanakikiji kumwaga vifusi au kuweka mawe ili...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

    Salaam, Shalom!! Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI". Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Generator gani ni nzuri?

    Habari ndugu Nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ni generator ya uwezo upi itafaa zaidi kwa matumizi ya nyumba yenye fan(panga boy 4), fridge 2, TV 1, taa za 30w ziko 7, na inverter AC moja yenye 9000BTU hii sio lazima iwashwe. Karibun ndugu kwa ushauri
  10. JamiiForums Tanzania Morogoro mchele kg 100 imefika bei gani? Nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom

    Wanangu wa Morogoro hivi kg 100 ya mchele imefika bei gani?, nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom
  11. JamiiForums Tanzania Muda gani ni sahihi kumshambulia adui?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna asiye na adui. Na hakuna ambaye sio adui kwa mwingine. Yaani wewe unavyojiona hapo kuna mtu anakuona ni adui yake. Halikadhalika wapo unaowaona ni maadui. Unaweza kuwa na maadui kwa Wema wako. Kama vile unavyoweza kuwa na maadui kwa ubaya wako. Adui ni...
  12. JamiiForums Tanzania Siku ya Redio Duniani: Unasikiliza Redio gani kila mara?

    Siku ya Redio, huadhimishwa Februari 13 ya kila mwaka kwa lengo la kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika kufikisha Taarifa kwa Jamii Mwaka 2011, nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ziliitangaza Februari 13 kuwa Siku ya...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Siasa ni kitu gani?

    Wakuu sana, Hiki kitu tunaita siasa. Mtu anafanya siasa. Huyu ni mwanasiasa, ni kitu gani? Siasa ni kitu gani?
  15. JamiiForums Tanzania Majibu ya ChatGPT kuhusu madhara ya kubinafsisha bandari kwa DP World

    Uamuzi wa kubinafsisha bandari kwa kampuni kama DP World unaweza kuwa na athari kadhaa kwa nchi. Hapa kuna baadhi ya madhara ambayo yanaweza kutokea: Upotevu wa Udhibiti wa Kimkakati: Kubinafsisha bandari kwa kampuni kutoka nje kunaweza kusababisha upotevu wa udhibiti wa kimkakati wa nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?

    Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?
  17. JamiiForums Tanzania Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Habari Wadau, Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia Katika mwaka...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

    Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa. Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi. Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo. Jamaa kapita karibu na dubwi akapata...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wembamba mnashida gani?

    Wanawake wembamba mnashida ipi mna gubu,hasira mda wote usikerwe kidogo tu maneno na matusi, mnamajungu na umbea umeanza kwenu,.. mjiangalie sana badilikeni sio kila anaewatongoza anawapenda mnajiskia sana kwanza mkikata kona cha mwisho kuona ni mgongo... Achaneni gubu mpendwe nyau wakubwa..
  20. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

    Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda. Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9 Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…