Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

February Makamba

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
2,116
2,820
Tafadhali zingatia:
  • Maokoto
  • Urahisi wa ajira (za kisomi na zisizo za)
  • Urahisi wa maisha kwa mgeni kuweza kufit haraka
  • Ukali wa ubaguzi
  • Urahisi wa kupata Huduma (elimu, afya, usafiri nk.)
  • Hali ya hewa nk.

Ni nchi gani ambayo ni Best kwa kijana mpambanaji kwenda ikawa rahisi kutoboa?

Kwa wajuvi mnaweza kuzirank.

Nchi maarufu USA, Canada, UK, Germany, U.A.E, Qatar, Switzerland, Netherlands, Turkey....
 
Mbona GOAT mwenyewe kaenda USA?
... of course haiwezekani wote wakaenda sehemu moja. Ushauri wangu kwamba ajaribu Saudia kwanza ni karibu na Tz - just a single flight, pili, watanzania kuanzia house girls wako kule wanapiga kazi, tatu, ni nchi ya dini sana so is a peaceful country, etc.
 
Mi nahisi Qatar pia Kuna fursa, kama Kuna mtu amewahi kupita pale Hamad international Airport atakubaliana na mimi, jirani zetu wakenya ndio wametawala ule uwanja yani wameajiriwa kwa wingi sanaa ila sijawahi kuona mtanzania
Sasa kama wakenya wapo means hata sisi tuna uwezo wa kuwepo. Jaribu kufatilia kwa undani unaweza kupata mwanga
 
Hili li nchi Tanzania ni bikra kabisa. Lina fursa kibao sema tu mna penda mjini.
Nyie huku mikoani kuna fursa nyingi.....

Nyie endeleeni kutembea na bahasha tu.
 
Back
Top Bottom